Jifunze kufikiri.Usihamishe magoli katikati ya mchezo:
Uliandika "mwisho wa siku hao wote watarudi kufuata alichokifanya Magu - na wameshaanza". Mwisho wa kukunukuu.
Bandiko lako na pia alichokifanya Magu ambacho unakubali na ambacho labda wameshaanza hao marais wenziwe kukifuata kipo hapa:
View attachment 1449908
Nilipokuuliza "so what' nilitaka ujaribu kutumia ubongo wako kufafanua faida walizopata hao waliopiga lockdown ambazo sie tumezikosa kwa Magu kutokuwa ikulu.
Badala yake unaleta ujuzi wako katika kucopy na kupaste.
Hongera!