Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Usihamishe magoli katikati ya mchezo:

Uliandika "mwisho wa siku hao wote watarudi kufuata alichokifanya Magu - na wameshaanza". Mwisho wa kukunukuu.

Bandiko lako na pia alichokifanya Magu ambacho unakubali na ambacho labda wameshaanza hao marais wenziwe kukifuata kipo hapa:

View attachment 1449908
Jifunze kufikiri.
Nilipokuuliza "so what' nilitaka ujaribu kutumia ubongo wako kufafanua faida walizopata hao waliopiga lockdown ambazo sie tumezikosa kwa Magu kutokuwa ikulu.
Badala yake unaleta ujuzi wako katika kucopy na kupaste.
Hongera!
 
Wewe ni wa kuhurumia kwa sababu hujui kwamba hujui. Huwa wenye akili zao hawaulizi majibu wanauliza maswali.

Maswali yasiyo na mashiko hupuuzwa. Ila kama yote hayo huelewi waliofikia lockdown wote wako vizuri mno kuliko hawa wanaorudishwa kila siku kuwa wana Corona.

Jipange elimu zaidi itakusaidia:

How Australia and New Zealand are emerging from the coronavirus crisis
 
'waliofikia lockdown wako vizuri" ndo umeeleza nini hapo?
Utakapoacha tabia ya ku-copy and paste utajifunza namna ya kufafanua na kueleweka hoja yako.
 
Vipi wale wanaofia home Nairobi

IMG_1589391449301.jpeg

Evidence ya chenye unaongelelea ni kitu ya maana sana.
IMG_1589391053748.jpeg
 
Najua huwezi kumbuka lakini nitakumbusha wewe... Wote hawa wametoka huko upande wa kwako. Wakwanza alikuwa hospitalini mwingine naye ni yule dereva wa Lori ya mzigo.
Nikafikir hao ndo waliozikwa jana usiku huko kwenu.
 
'waliofikia lockdown wako vizuri" ndo umeeleza nini hapo?
Utakapoacha tabia ya ku-copy and paste utajifunza namna ya kufafanua na kueleweka hoja yako.

Ujinga ulionao ni mzigo.

Komaa hivyo hivyo. Ngoja tufuke nyungu kwanza.

Viva jiwe Viva wenzio wengi sasa hivi wanafuka nyungu!

Inasemekana watakuwa wana fuata nyayo zako mkuu.
 
Jifunze kufikiri.
Nilipokuuliza "so what' nilitaka ujaribu kutumia ubongo wako kufafanua faida walizopata hao waliopiga lockdown ambazo sie tumezikosa kwa Magu kutokuwa ikulu.
Badala yake unaleta ujuzi wako katika kucopy na kupaste.
Hongera!
Kaka ulichemka tulia huna haja ya kubishana.. kumpenda/kumkubali mtu c kosa, ulaumiwi kumpenda mwanaume mwenzako.. ila lililofanyika halikuwa kwa faida ya wote, watu wanaathirika kwa hatua na maamuzi ya wenye nchi na wapo mnaonufaika nayo pia.. Kama hauathiriki shukuru Mungu.. maambukiz yapo na yanaendelea chukua tahadhari... Stay safe
 
Haya WHO (wanaowaamini) wamemuelewa JPM.
Wanasema tujifunze kuishi na corona maana hata wao hawajui vitaondoka lini. Sasa wataendelea na lockdown yao au watafuata Magufuli model.
Zambia wamebana sasa wameachia. Hao wengine mnaowasifu ni Mbwembwe tu! soon watarudi kwa JPM style
 
Angalia hiyo namba tu, 23ppl. Kisha wanarudi nchini wanajichanganya kila mtu na maeneo yake ya kujidai, imagine the chain.
 
Hakika utakua na minyoo!! unadhani kila anayeona juhudi za Rais ni CCM? wengine hatuna vyama isipokua uhalisia unaonekana, nafikiri ninyi wengine ni watoto au mna matatizo ya akili kiasi hamuwezi kuona jambo kwa unadani wake

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
You're completely pathetic and extremely doomed enough, Magufuli kaifanyia nini Tanzania? zaidi ya kuizamisha shimoni?
Wapumbavu mpo wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom