Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Utateseka sana!!!Uraisi una wakala!!!! Mtu haendi personally eeee hii Kali
Ike barua Lisu aliandika kuomba kuteuliwa Uraisi kazi yake ilikuwa Nini?
Tofautisha suala la barua ya kuonesha au kutia nia na fomu ya kuteuliwa kugombea kwa niaba ya chama! Vilaza wengine bhana!Uraisi una wakala!!!! Mtu haendi personally eeee hii Kali
Ile barua Lisu aliandika kuomba kuteuliwa Uraisi kazi yake ilikuwa Nini?
Maajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,Maajabu Yanaendelea.
Na maajabu makubwa zaidi ni pale mtu huyu anapopona licha ya kumiminiwa risasi zote zile.Maajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ,ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!
Na itakuwa maajabu ya maajabu ya dunia pale mtu huyo Mwenyezi Mungu anapokuja kumwinua na kumkalisha kiti alichokaa Magu kwa sasa!Na maajabu makubwa zaidi ni pale mtu huyu anapopona licha ya kumiminiwa risasi zote zile.
Hakuna haja ya ulinzi! Mnyampaa tayari ameumia hana sifa za urais!! nani atampigia kura? wewe?Huyu jamaa alindwe sana
Ataandika historia kubwa na ya kipekee duniani iwapo hilo litatimia.Na itakuwa maajabu ya maajabu ya dunia pale mtu huyo Mwenyezi Mungu anapokuja kumwinua na kumkalisha kiti alichokaa Magu kwa sasa!
Uraisi una wakala!!!! Mtu haendi personally eeee hii Kali
Ile barua Lisu aliandika kuomba kuteuliwa Uraisi kazi yake ilikuwa Nini?
Hii ipo kwa mawakala wa mabeberu (chadema)wakala wa mabeberu ana chukua fomu kwa kutumia wakala,[emoji23][emoji1787][emoji2960]Uraisi una wakala!!!! Mtu haendi personally eeee hii Kali
Ile barua Lisu aliandika kuomba kuteuliwa Uraisi kazi yake ilikuwa Nini?
We shall overcome. AMENNa itakuwa maajabu ya maajabu ya dunia pale mtu huyo Mwenyezi Mungu anapokuja kumwinua na kumkalisha kiti alichokaa Magu kwa sasa!
Umesahau na dereva hakupata hata mchubuko na kumtorosha kabisaMaajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ,ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!