Uchaguzi 2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Poleni CCM msiyemtaka kwa udi na uvumba ndiyo huyooo anakuja. Hoja hujibiwa kwa hoja, wala siyo kwa viroja na dola. Mjiandae vyema kisaikolojia, msijekimbilia kuaihirisha uchaguzi kwa kisingizio kipya cha kuibuka tena kwa maambukizi mapya ya Corona.
 
Kwa hiyo huyo wakala anaanza kuona lisu ndo anafaa, sasa siku mbowe nae akipita kuwa mgombea huyo jumbe hata msapoti mbowe kwa vile lisu ndo anafaa?
 
Uraisi una wakala!!!! Mtu haendi personally eeee hii Kali. Ile barua Lisu aliandika kuomba kuteuliwa Uraisi kazi yake ilikuwa Nini?
Kwamba barua ndio ingechukua fomu, au?
 
Maajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ, ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!
Dereva mshukiwa namba 1. Lissu na CHADEMA wanamlinda dereva kwa gharama kubwa sio kawaida. Jiulize hayo mambo utapata jibu kwa nini hakuna mtu aliyetiwa mbaroni so far. Halafu usishangae Lissu akaja bila dereva
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es Salaam.


View attachment 1497296
kumekucha!

ndiyo maana mchana huu huku koridoni Lumumba nimeshuhudia watu simu hazibanduki masikioni. huyu anaingia, huyu anatoka.... nikajiuliza kulikoni kumbe wamesikia chuma kimechukua fomu.

kazi ipo!
 
Back
Top Bottom