Uchaguzi 2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Maswali kantu ila shetani hapendi kuulizwa maswali maana yye ndy hupanga kuharibu!!mi swali langu ni kama vyombo vya dola vilijua dereva ni mtu muhim katka kadhia ile kwann masaa hayo hawakumtiani hatiani asaidie upelelezi?
 
Haya ni maswali ambayo ni watu walio na akili timamu hujiuliza...
Mtu akiwa na akiliccm kiwango chake cha uelewa hushuka hasi ya 0 hivyo hubaki na empty head isiyoweza kufikiri zaidi ya viunu na vigelegele...
 
Uraisi una wakala!!!! Mtu haendi personally eeee hii Kali

Ile barua Lisu aliandika kuomba kuteuliwa Uraisi kazi yake ilikuwa Nini?
Kwani mlichapisha fomu ngapi huko lumumba?
 
Huyu jamaa alindwe sana
Threat nyingine kwa Lisu ni Team Membe ukiachana na hawa waliompiga risasi mchana kweupe kisha kumnyima stahiki zake na kumvua ubunge.

Mungu amlinde Tundu Lisu
 
Threat nyingine kwa Lisu ni Team Membe ukiachana na hawa waliompiga risasi mchana kweupe kisha kumnyima stahiki zake na kumvua ubunge.

Mungu amlinde Tundu Lisu
😆Wabongo bwana Membe kivipi sasa,labda akagombee kupitia ACT, time hii hata wale wagombea wanaokatwa CCM kisha kutaka kupitia CDM hawana nafasi.
Membe mwondoe katika mbio za uchaguzi.
 
Maajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ,ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!
Tena makubwa sana.

Kila siku wanatuambia...serikali ina mkono mrefu....wanashindwa kuwakamata wahalifu waliotaka kumuua Lisu.

Wakubali kwamba..serikali yetu ni dhaifu,tena mikono yake ni mifupi na imelemaza hata kushindwa kuwabaini wahalifu.
 
[emoji38]Wabongo bwana Membe kivipi sasa,labda akagombee kupitia ACT, time hii hata wale wagombea wanaokatwa CCM kisha kutaka kupitia CDM hawana nafasi.
Membe mwondoe katika mbio za uchaguzi.
Soma uelewe kilicho andikwa, usisome kujibu

Hichi unachokisema sicho nilichomaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…