Nafarijika sana kuona jitihada za mafanikio za Mh Tundu LissuMkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es Salaam.
View attachment 1497296
Kwani ajali ikitokea lazima wote wafeUmesahau na dereva hakupata hata mchubuko na kumtorosha kabisa
Hawa mawakala ndio wametangaza nchi kuwa na uchumi wa kati??Hii ipo kwa mawakala wa mabeberu (chadema)wakala wa mabeberu ana chukua fomu kwa kutumia wakala,[emoji23][emoji1787][emoji2960]
He is the only and only one. Hata aliyempiga Risasi alijua kabisa Lisu akifika 2020 atakuwa mwiba kwalke hakupenda kabisa jamaa avuke.Huyu ndo turufu waliyobaki nayo chadema.
Sio lazima Ila inashangaza kwa hili, risasi zipigwe mlango wa abiria upande wa kushoto zimjeruhi abiria mguu wa kulia ziende kuharibu mlango wa dereva,halafu dereva asipate hata mkwaruzo,inafikirisha zaidi dereva kufichwa na kutoroshwa hii hata kwenye filamu za James Bond hatujaona!!!Kwani ajali ikitokea lazima wote wafe
Kinachokushangaza ni nini?? Waliomuua mbona wako wazi na nyoyo zinawasuta kila siku??Sio lazima Ila inashangaza kwa hili, risasi zipigwe mlango wa abiria upande wa kushoto zimjeruhi abiria mguu wa kulia ziende kuharibu mlango wa dereva,halafu dereva asipate hata mkwaruzo,inafikirisha zaidi dereva kufichwa na kutoroshwa hii hata kwenye filamu za James Bond hatujaona!!!
Wapi umesoma mawakala wa mabeberu wametangaza? Mbona unachangaya madesa!Hawa mawakala ndio wametangaza nchi kuwa na uchumi wa kati??
Kunywa maji kwanza sijui Kama walimuua!Kinachokushangaza ni nini?? Waliomuua mbona wako wazi na nyoyo zinawasuta kila siku??
Ndio lengo lao, Mungu wale walishaua na ndio maana Mungu kawaadhibu.Kunywa maji kwanza sijui Kama walimuua!
Kwani Bila world bank kuwatangaza mlijitangaza we mbona uko mweupe kichwani aisee??Wapi umesoma mawakala wa mabeberu wametangaza? Mbona unachangaya madesa!
Mungu mbariki kamanda huyuMkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es Salaam.
View attachment 1497296
Hata kutwangwa risasi 18 na mtu kuwa hai ni maajabu ya dunia. Au risasi za mabua.Maajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ,ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!
Huyo ALIPIGWA risasi na watu wabaya wenye mamlaka ndio akapata hiyo hitilafu ya viungo je wewe siku ukipata ajali ukawa Kama yeye je hiyo ikuondolee sifa ya uongozi? Kumbuka hujafa hujaumbika.hakuna haja ya ulinzi! Mnyampaa tayari ameumia hana sifa za urais!! nani atampigia kura? wewe?
Umesahau na risasi zenyewe zilipiga mguu wakulia tu wakati risasi hizo zilitokea upande wa kushoto. Ni maajabu ya dunia haya..risasi zilitokea kushoto zikapinda kona zikazunguka zikapiga upande wa kuliaMaajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ,ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!
Alindwe na nani?Huyu jamaa alindwe sana
Mhhhhhhhhhhh. Watakuwa ni wahalifu wajanja sanaMaajabu ni pale mbunge alipotwangwa risasi kumi na nane,mchana kweupeee,harafu serikali hii ya ccm,
Polisi,TISS,na JWTZ,ikashindwa kuwakamata waharifu!!!hayo ndio maajabu!!
Itabidi magu akimbilie baharini, walahi.Na itakuwa maajabu ya maajabu ya dunia pale mtu huyo Mwenyezi Mungu anapokuja kumwinua na kumkalisha kiti alichokaa Magu kwa sasa!
Hayakuhusu!Uraisi una wakala!!!! Mtu haendi personally eeee hii Kali
Ile barua Lisu aliandika kuomba kuteuliwa Uraisi kazi yake ilikuwa Nini?