Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Kwa hiyo ubinafasi na kutokufuata katiba ndo uzalendo? Na ndo kigezo cha Kuwa rais? Kweli na wachawi wapo, haiwezekani tumekuwa wapumbavu wa kiwango cha lami
Huyu wa huku anataka mtu wa sifa hivyo hilo hata usishangae hata maamuzi aliofanya kauli ilitok huku
 
Back
Top Bottom