Potenstial maana yake Nini yakhee?Zanzibar ina potestial Presidents wengi hivyo? Wanadhani ni u-head prefect?
Usisahau wakati Tanzania Bara na wao walikuwa na watu wengi wakigombea baada ya Kikwete. HII NI SERA YA ccm KUFICHA VITU fulani fulani. Hawa wote walio jitokeza ni makundi ya watu wawil au watatu na mwisho wa siku utawaona nyuma ya viongozi wao wanao wataka. Ndugu Ali Karume yuko tayari kujitoa maana ameona hana makalio.Zanzibar imekuwa kama vile wanagombea u-monita wa darasa la 3.
Sasa hapo ni yupi kwenye hiyo picha?