Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM
Hashim amekuwa mwanachama wa 24 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu hizo za Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020
Amesema, "Nitahakikisha michezo inapata udhamini 100% kutoka kwa Serikali. Uwezo wa kupata CAF tunao na kwenda FIFA tunao. Vipaji vipo shida yetu ni umasikini"