Zanzibar 2020 Namba 24: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

Zanzibar 2020 Namba 24: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM

Hashim amekuwa mwanachama wa 24 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu hizo za Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

Amesema, "Nitahakikisha michezo inapata udhamini 100% kutoka kwa Serikali. Uwezo wa kupata CAF tunao na kwenda FIFA tunao. Vipaji vipo shida yetu ni umasikini"

EbL8nOPXQAEGunj.jpg
 
Huh!!! Nani yuko nyuma ya drama hii!??

Kuna kitu kinatengenezwa hapaa!!!!
 
Mbona kabana mdomo kama anataka kumpiga mtu ngumi?
acha wajaribu, ila babu jecha ndo presidantial material.aliekuwa mwenyekiti wa tume kuanzia 1915 mpaka 1918. duh!!!!!
 
Zanzibar imekuwa kama vile wanagombea u-monita wa darasa la 3.
Usisahau wakati Tanzania Bara na wao walikuwa na watu wengi wakigombea baada ya Kikwete. HII NI SERA YA ccm KUFICHA VITU fulani fulani. Hawa wote walio jitokeza ni makundi ya watu wawil au watatu na mwisho wa siku utawaona nyuma ya viongozi wao wanao wataka. Ndugu Ali Karume yuko tayari kujitoa maana ameona hana makalio.
 
Nakusanya wapambe 200 naenda kuchukuwa fomu. Nokishakukatwa mmoja wa candidate ananifata na kuniambia nimpe yeye ile base yangu ananikatia Mil20!
 
Back
Top Bottom