Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Kila la Kheri kwake ana uzoefu na system na anaonekana ana utulivu wa kichwa, lakini ningetamani awe mtu mwingine nje Mwinyi's circle.
 
Natumaini atashinda
Lakini shemeji yetu kwa ukimya wako utaweza kweli?!
WaZenji wapole utakuwa sawa
Go for it!
support you mingi mingi!
Znz huwa hakunaga press za kila Mara,anaweza akakaa mwaka mzima bila press
 
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Kwani ameshapigiwa kura mkuu,mbona kama unaongea kwa uhakika kuwa atakuwa raisi wa Zanzibar...?
 
Hongera Hussein Mwingi kuchukua fomu tunakutakia Uraisi mwema utaupata tu inshallah
Kwani vyeo vyote zanzibar vya kugombea watu wanarithishana? kama ubunge na baraza la wawakilishi? acha uzushi

Na wanaowapigia kura wawe wagombea mfano kamati kuu ya chama,halmashauri kuu na mkutano mkuu wote ni watoto wa viongozi? hoja yako haina mashiko
Wazanzibar tunamtaka Maalim Seif full stop!!
 
Hapa ndipo ninapojiuliza watoto wa muasisi wa taifa la Tanganyika wana-fail wapi? Sioni dalili ya wao kupata nafasi ya uongozi wa juu katika nchi hii.
 
Yes sasa ni kupiga kazi tu na pia zamu ya upande wa pili wa muungano pengo litazibwa na huyu Daktari mahiri
Nyerere
Mwinyi - mzanzibar pekee
Mkapa
Kikwete
Magufuli

Huo utaratibu wa kubadilishana bara na visiwani mlidanganywa na nani ?
 
Back
Top Bottom