Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Mbona hili liko wazi nafasi ni kwa sheikh. Makame Mbalawa!!
 
Allah atamfanyia atamfanyia wepesi Dr. Hussein na atakuwa rais ajaye wa zanzibar in 20 days time
 
Nawaza tu jinsi CCM watakavyomfanya huyu mwana mfalme.. anaetaka kurithi nchi..

CCM haina mwenyewe.. watakavyomfanya dodoma hataamini
 
Naaam, wakati muafaka sasa!

Hussein baada ya kuandaliwa kwa muda mrefu sana, sasa ameiva kweli kweli.

Maandalizi yalianza baada ya kuambiwa sasa acha jimbo la mkuranga na kisha nenda kohani unguja.

Kisha akapewa uwaziri wa mambo ya muungano na kisha ulinzi.

Tumempitisha huku kote hii yote ni maandalizi ya kushika dola.

Kiongozi muungwana sana.

Kila la heri Dr. Hussein Rais wa Serikali ya 8 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Kila la heri Dr. Mwinyi
 
Back
Top Bottom