Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kama kawaida yake. Hakuna mshangao.Magufuli anapindua meza, hamtakaa muamini.
Na wale watabiri wote ndio mtajua hamjui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida yake. Hakuna mshangao.Magufuli anapindua meza, hamtakaa muamini.
Na wale watabiri wote ndio mtajua hamjui
Kila la heri Dr. MwinyiNaaam, wakati muafaka sasa!
Hussein baada ya kuandaliwa kwa muda mrefu sana, sasa ameiva kweli kweli.
Maandalizi yalianza baada ya kuambiwa sasa acha jimbo la mkuranga na kisha nenda kohani unguja.
Kisha akapewa uwaziri wa mambo ya muungano na kisha ulinzi.
Tumempitisha huku kote hii yote ni maandalizi ya kushika dola.
Kiongozi muungwana sana.
Kila la heri Dr. Hussein Rais wa Serikali ya 8 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Uje ulipukiwe mabomu tena ?Huyu ndiyo Rais
Bora angechukua fomu Tz bara