Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Hizi hadithi tumeanza kuzisikia toka mwaka 1995 na hakuna chochote kimetokea.

Kuna wakati upinzani zanzibar umekuwa na nguvu kuliko mwaka 1995 na 2015?
Wewe unaamini kama kuna chama kinaitwa CUF?

Mafigisu ya Zanzibar yalikuwa yanazimwa na Tanganyika kuwa na uhusiano mzuri na nchi za Magharibi. Lakini kuanzia 2016 hali imebadilika na eti mabeberu kuwa maadui zetu. Zanzibar ikinyimwa misaada huwa inabebwa na Tanganyika. Kwa sasa Tanganyika yeynyewe iko hoiiii!
 
Dr. Hussein Mwinyi ni kiongozi wa pekee aliyeonyesha umahiri wa ajabu na nidhamu isiyo na mfano hata baada ya kukaa kwa muda mrefu sana kwenye nafasi za juu za uongozi. Kwakweli kwa mtu mwenye dhamira njema atakubaliana nami kuwa hicho ni kipaji. Very humble, obidient, understanding, asiye jikweza pamoja na kutoka kwenye familia ambayo imepata previllage ya kutoa Rais wa awamu ya pili, yet he maintained his composure...Siyo rahisi na ni wachache wa namna yake.

All the best kiongozi na Mungu akutangulie katika adhma yako hii njema ya kuwania nafasi ya juu zaidi huko Zanzibar, naamini Mungu hatakuacha wala kukupungukia.
For real.

But politically and economically,is he what Zanzibaris want???
 
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Kwani Shein baba yake amewahi kuwa Rais? Hiyo ni demokrasia.
Katiba haikatazi mtoto wa aliyewahi kuwa Rais asigombee kisa tu baba yake alikuwa Rais.
 
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Kusiwepo na kigezo kwa vile baba yake alikua rais ndio asigombee.... Kama ni competent enough kwa hiyo position its OK kwa hilo...... Mbna USA hata George Bush nae baba ake alikua rais...... Kama anafaa apitishwe tu
 
Choice yangu mimi ni Prof Mbarawa.
Huyu baba ni jembe jmani. Wazanzibar wamshawishi huyu baba achukue form. Anaju kazi na pia hajikwezi.. Yuko simple and humble... Ataipeleka Zanzibar mbali..
Hajawahi kushinda nafasi ya kuchaguliwa uyo u monitor wa secondary nilimshinda hana nyota
 
Natabiri kuwa ataongoza Zanzibar kipindi kimoja na kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya Tanzania kwa vipindi viwili baada ya Mh. Magufuli kama ilivyotokea kwa Baba yake
Baba ake aliongoza mwaka mmoja
 
Je John atakubali kusafiri na Husein? Kuna mwanabodi aliuza swali humu, Sasa Hussein ameamua kujitosa je, ikitokea Mkapa akampitsha kuwa mgombea kwa upande was visiwani . Je , John atakubali kusafiri na?
mkapa yeye ni nani kwani?
 
Ni kweli fimu fomu zinachukuliwa Kisiwandui jirani kabisa na Michenzani na Mkunazini lakini wanaochagua nani awe mgombea kupitia CCM hukaa Dodoma, CCM Zanzibar haichagui mgombea badala yake inachuja tu wagombea wa kuwapeleka Dodoma. Hofu kubwa ya CCM ni kutopata mgombea mwenye msimamo mkali dhidi ya Muungano.

Sijui umeanza lini kufuatilia siasa za Visiwani, labda nikukumbushe tu...
Hapa umemaliza kila kitu mkuu
 
Back
Top Bottom