DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Siamin km tayar watu wameshashikishwa Jonas mkude
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ana mkataba mazungumzo ya nini? Watu wanataka kuununua huo mkatabaAna mkataba na yanga mpaka 2024 na huenda akaongezewa Tena mkataba
Kwamba Kibabage umemtoa kwenye list au?Tunasubiri watambulisho hao wachezaji wao watatu alafu sisi tunatambulisha mmoja tu booooom
Aachwe vipi na wakati mkataba wake unaisha Juni, 2024? Mashabiki wa simba bhana!!Napenda...Hapo Mayele anamaanisha anataka aongezewe mzigo na Yanga zaidi ya ule wa waarabu...wakishindwa aachwe aende kwenye pesa nyingi
Jonas Mibange Mkude.Namba 6 ni nani huyo?