Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wale mliokuwa mnasubiria namba E zitoke ili mnunue magari, sasa the wait is over! Mzigo ushatoka, kazi kwenu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki 7 tu walitangaza TRA.E ya kufoji.. maana DYA wala DZA bado hazijatoka
Zimetoka. Leo nimeona DXZE ya kufoji.. maana DYA wala DZA bado hazijatoka
Mimi hapaHivi kuna mtu kweli amekaa anasubiria namba E? [emoji1787]
Wasukuma tunasubiri kwa hamu mkuu 😁😁Hivi kuna mtu kweli amekaa anasubiria namba E? 🤣
Zimetoka. Leo nimeona DXZ
Hahaaa... hapo sawa 🤣🤣🤣Wasukuma tunasubiri kwa hamu mkuu 😁😁
Mfano mimi nasubiria F.Hivi kuna mtu kweli amekaa anasubiria namba E? [emoji1787]
DYABaada ya DXZni herufi gani inafata?
DYA ambayo tayari ishatokaBaada ya DXZni herufi gani inafata?
DYABaada ya DXZ ni herufi gani inafata?
Hii E ya mchongo haijatoka rasmi mtu kajisikia tu kuleta taharuki!Wale mliokuwa mnasubiria namba E zitoke ili mnunue magari, sasa the wait is over! Mzigo ushatoka, kazi kwenu...
View attachment 2050752
Kwamba watakupa E kabla hazijaanza rasmi?D kama hazijaisha ila ukiwa na pesa yako unapewa E