Namba E tayari, mliokuwa mnasubiria kazi kwenu

Inatakiwa ifike DZZ mkuu, ndo ianze E currently tupo DX.. bado DY , a to z , then ije DZ again a to z
Kila herufi moja inabeba usajili wa gari 898 , 101 to 999, ukiondoa 'I 'na 'O' maana hizi huwa hazihesabiwi , mpaka tufike namba E kuna wastani wa usajili wa magari zaidi ya 20000 hivi roughly, sio leo wala mwaka ujao!,
DYA imeshatoka. Kila herufi ina magari 899. Siyo 898
 
Aliyegundua mfumo wa huu wa namba alicheza saana maaana kumaliza D tu si mchezo!!!

Nadhani A B C zilikimbia sana sababu ya kuunganishwa na pikipiki.
 
Inatakiwa ifike DZZ mkuu, ndo ianze E currently tupo DX.. bado DY , a to z , then ije DZ again a to z
Kila herufi moja inabeba usajili wa gari 898 , 101 to 999, ukiondoa 'I 'na 'O' maana hizi huwa hazihesabiwi , mpaka tufike namba E kuna wastani wa usajili wa magari zaidi ya 20000 hivi roughly, sio leo wala mwaka ujao!,
Nchi ilimefunguka sasa hayo magari 20000 mbona fasta tu
 
Mzigo tayari
475DEE3D-DDAD-498F-9AAF-3C465BA2C889.jpeg
 
Back
Top Bottom