Namba E zitaanza muda wowote kuanzia sasa

Namba D huu mwaka mnamaliza nayo, mnaosubiri namba E labda Januari huko. Halafu kwasasa imekuwepo kasumba watu kibao wanatembelea Chasis namba wakisubiri namba mpya. So hapa mwishoni mtasubiri mnooooo, namba D Bado ipo ipo sana mpa Xmas ipite.
Jidanganye hivyo hivyo leo DZX iko katikati leo. Hadi kufikia tarehe 20/8/2022 usajili wa DZZ utakuwa uko ukingoni. Kabla ya tarehe 1/9/2022 namba E inasajiliwa rasmi.
 
Hii siyo ya kweli
Nimeliona tangu mwezi uliopita hili gari maeneo ya Mcity.
Huenda ni Watu wa VIPENYO.
DZZ bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…