Namba hii ina maana gani? 1.6180339887.

Simply tu ni kwamba aliweka formula kwa ajili ya kuipata hiyo namba ni Leonardo Fibonnaci... Na aliipata kwa series ambayo inaanza na 1,1,2,3,5,8,13,21,34,55,89,......

Simply tu ni kwamba ukijumlisha namba mbili za nyuma basi unaipata inayofuatia mbele.

Na katika hiyo Fibonnaci levels zipo ratios nyingi lakini aijajua ni kwanini hiyo 1.61 ndo wanaichukulia kama golden ratio...

Jinsi inavyopatikana, katika huyo series ambayo nmeipost hapo, ni unachukua namba mbili zilizofuatana, ya mbele unagawanya na ya nyuma yake. Namba zozote utakazochagua majibu yatakiwa ni approximate yaleyale.

Unaweza kujaribu by your own...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sawasawa!! Hongera,hujaleta mbwembwe kama hao manguli uchwara!kudos.
 

Ili tusichangie kule wasemavyo wanasayansi kuhusu kitabu kile cha shetani?
 
Boss sijakuelewa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…