Wanasema siku wajinga ambao sasa wanatumika kama mtaji wajitambua basi wanufaika watakasirika sana😀mimi ningekuwa Rais ningejimilikisha nchi nzima
bora hata huyo Samia amechukua kakijipande tuuuu
Hii nchi saizi imekuwa ya walanguzi na wanakingiwa kifua na wapumbavu wasiojielewa kabisa.Wamasai walihamishwa kwa nguvu ili wajomba wapate mahali pa kutafuna kitoweo cha asili. Nchi ngumu sana hii.
Haiti iliitawala Domnica Republic, leo wananchi wa Haiti hawatakuwi Domnica hata kufanya kazi za kuokota makopo kisa siasa za kijinga kama hizi za CCM dhidi ya nchi yetu. Tutaanza kuongozwa na walanguzi wa nyara na madawa ya kulevya kwenye ngazi ya mitaa na kijiji make kwenye ngazi za juu wameweza tayariHii nchi saizi imekuwa ya walanguzi na wanakingiwa kifua na wapumbavu wasiojielewa kabisa.
Ondoa ujinga wako hapa wewe usiyejitambua. Mmasai gani aliyehamishwa kinguvu?Wamasai walihamishwa kwa nguvu ili wajomba wapate mahali pa kutafuna kitoweo cha asili. Nchi ngumu sana hii.
HUU NI UJINGA MAKOSA WANAFANYA WENGINE LAWAMA MNAMTUPIA RAISIKama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya ujenzi na huduma mbovu kwa jamii maana sasa uongozi uliopo ni kama kuna mashindano ya kukwapua mali na kodi za umma.
View attachment 3624839
Inabidi tuzidishe dozi kwa hawa manyang'au na wanyonyaji waliokosa akili.
Samahani, Sijaona jina Samia hapo.Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya ujenzi na huduma mbovu kwa jamii maana sasa uongozi uliopo ni kama kuna mashindano ya kukwapua mali na kodi za umma.
View attachment 3624839
Inabidi tuzidishe dozi kwa hawa manyang'au na wanyonyaji waliokosa akili.
hii ina viashiria vingi vya kutokuwa rasmi (feki) na inapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa sana.
- Makosa ya kiuandishi: Kichwa cha habari kimejirudia kizembe ("Rectification of land rectification...") na barua pepe ya Wizara juu imeandikwa vibaya kama .go.z badala ya .go.tz.
- Kiutaratibu: Anwani za Posta (P.O. Box) za pande zote mbili zimeachwa wazi P.O. BOX -. Serikali haitumi barua rasmi ya namna hii.
watakasirika au watakimbia nchi ?Wanasema siku wajinga ambao sasa wanatumika kama mtaji wajitambua basi wanufaika watakasirika sana😀
plus land reserveLand alienation😀
usikute wamepewa na Maria Sarungi au Hilda Newtonhuu ujinga mnautoaga wapi?
HER EXCELLENCE THE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA.Samahani, Sijaona jina Samia hapo.