Responded HOJA Namba moja ajimilikisha kijiji cha Ololosokwan, Ngorongoro

Responded HOJA Namba moja ajimilikisha kijiji cha Ololosokwan, Ngorongoro

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya ujenzi na huduma mbovu kwa jamii maana sasa uongozi uliopo ni kama kuna mashindano ya kukwapua mali na kodi za umma.

View attachment 3624839
Inabidi tuzidishe dozi kwa hawa manyang'au na wanyonyaji waliokosa akili.
Kama vile inakuja na kutoka, huenda ndiyo wasiotakiwa kuonekana kwenye rodi wanaonekana wakali.
 
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya ujenzi na huduma mbovu kwa jamii maana sasa uongozi uliopo ni kama kuna mashindano ya kukwapua mali na kodi za umma.

View attachment 3624839
Inabidi tuzidishe dozi kwa hawa manyang'au na wanyonyaji waliokosa akili.

TOKA MAKTABA

2023 March 23

WALIOHUSIKA OPARESHENI LOLIONDO WATUHUMIWA KUTOWEKA KWA MWANANCHI

View: https://m.youtube.com/watch?v=ffjYDY1gRtM
Wakili msomi Joseph Oleshangay akifafanua masuala katika shauri la Kesi ya kulazimishwa kupotea ( Enforced disappearance)kwa mzee Oriais Oleng’iyo (85) wa Ololosokwan, Loliondo katika Wilaya ya Ngorongoro Miscellaneous Criminal Application No. 67 of 2022 imeahirishwa hadi machi 30/2023 kwa ajili ya kusikilizwa mbele ya jaji Gwae wa mahakama kuu ya Tanzania, masijala ya Arusha ambapo mlalamikaji ambaye ni mtoto wa mzee Oriaisi anapaswa kuhudhuria mahakamani pamoja na walalamikiwa ambao wamehusika kwenye oparesheni ya kuweka vigingi eneo la Loliondo.

Madai ya Kupigwa risasi na kupotezwa kwa Mzee Oriais Oleng’iyo yameelezwa kuwa ni matokeo ya operesheni iliyofanyika Loliondo tarehe 10.06.2022 wakati wa uwekaji vigingi (beacons) eneo la vijiji 14 vya Loliondo lenye kilometa za mraba 1502.

Walalamikaji wanaiomba mahakamaIamuru walalamikiwa kumleta mahakamani Oriaisi Pasilange Ng’iyo ambaye amepelekwa kusiko julikana tangu alipokamatwa nyumbani kwake Engong’u Nairowa, Kata ya Ololosokwan, Loliondo wilaya ya Ngorongoro.

Ombi la pili ni mahakama ina amuru na kuwaelekeza walalamikiwa kumwachia huru Oriasi Pasilange Ng’iyo Kurosawa alikoshikiliwa tangu 10.06.2022.

Mahakama iamuru walalamikiwa waje Mahakamani kueleza sababu za kushikilia Oriasi Pasilange Ng’iyo kinyume cha Sheria. Pamoja na kuiomba mahakama iamuru na kuelekeza walalamikiwa kuleta mwili wa Oriasi Pasilange Ng’iyo akiwa hai au asipokuwa hai.

Sambamba na hilo wameomba walalamikiwaOCD - Ngorongoro, Kamanda wa polisi mkoa (RPC) wa Arusha, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Mkuu wa jeshi la polisi( IGP ) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wafike mahakamani kujibu tuhuma za utokuonekana kwa mkazi huyo wa Loliondo kwani kwa namna moja ama nyingine wanahusika kwa kile kilichoelezwa walihusika na zoezi la uwekaji vigingi eneo hilo.
 
TOKA MAKTABA

2023 March 23

WALIOHUSIKA OPARESHENI LOLIONDO WATUHUMIWA KUTOWEKA KWA MWANANCHI

View: https://m.youtube.com/watch?v=ffjYDY1gRtM
Kesi ya kulazimishwa kupotea ( Enforced disappearance)kwa mzee Oriais Oleng’iyo (85) wa Ololosokwan, Loliondo katika Wilaya ya Ngorongoro Miscellaneous Criminal Application No. 67 of 2022 imeahirishwa hadi machi 30/2023 kwa ajili ya kusikilizwa mbele ya jaji Gwae wa mahakama kuu ya Tanzania, masijala ya Arusha ambapo mlalamikaji ambaye ni mtoto wa mzee Oriaisi anapaswa kuhudhuria mahakamani pamoja na walalamikiwa ambao wamehusika kwenye oparesheni ya kuweka vigingi eneo la Loliondo.

Madai ya Kupigwa risasi na kupotezwa kwa Mzee Oriais Oleng’iyo yameelezwa kuwa ni matokeo ya operesheni iliyofanyika Loliondo tarehe 10.06.2022 wakati wa uwekaji vigingi (beacons) eneo la vijiji 14 vya Loliondo lenye kilometa za mraba 1502.

Walalamikaji wanaiomba mahakamaIamuru walalamikiwa kumleta mahakamani Oriaisi Pasilange Ng’iyo ambaye amepelekwa kusiko julikana tangu alipokamatwa nyumbani kwake Engong’u Nairowa, Kata ya Ololosokwan, Loliondo wilaya ya Ngorongoro.

Ombi la pili ni mahakama ina amuru na kuwaelekeza walalamikiwa kumwachia huru Oriasi Pasilange Ng’iyo Kurosawa alikoshikiliwa tangu 10.06.2022.

Mahakama iamuru walalamikiwa waje Mahakamani kueleza sababu za kushikilia Oriasi Pasilange Ng’iyo kinyume cha Sheria. Pamoja na kuiomba mahakama iamuru na kuelekeza walalamikiwa kuleta mwili wa Oriasi Pasilange Ng’iyo akiwa hai au asipokuwa hai.

Sambamba na hilo wameomba walalamikiwaOCD - Ngorongoro, Kamanda wa polisi mkoa (RPC) wa Arusha, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Mkuu wa jeshi la polisi( IGP ) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wafike mahakamani kujibu tuhuma za utokuonekana kwa mkazi huyo wa Loliondo kwani kwa namna moja ama nyingine wanahusika kwa kile kilichoelezwa walihusika na zoezi la uwekaji vigingi eneo hilo.

TOKA MAKTABA :

2024 January 12
Interview with Joseph Oleshangay: Lawyer, Maasai Activist and Winner of the Weimar Human Rights Award 2023 Interviewer: Patrick Schukalla, Tanzania-Network.de We met Joseph Oleshangay in Berlin on December 14th, 2023 and spoke with him about the award, his work, the eviction of the Maasai people from their ancestral land, and the role that Germany plays

View: https://m.youtube.com/watch?v=n7n_i498O1Y
 
2025February 28

Maasai Resistance Against Violent Evictions with Activist Joseph Oleshangay

View: https://m.youtube.com/watch?v=yQFOUae6Rng

This week, our producer Jeffrey Smith spoke to Joseph Oleshangay, a Maasai human rights lawyer and grassroots activist about the years-long resistance to the Tanzanian government’s violent evictions of indigenous people from their ancestral homelands, ostensibly to accelerate national development and to make way for investments in tourism.

This conversation touched on a number of critical issues, including cultural appropriation and the erasure of heritage, the impact of Tanzania's upcoming general elections and a new documentary that spotlights Joseph’s courageous work to protect the rights of indigenous people.--Executive Director, Vanguard AfricaCreator & Producer, The Resistance Bureau
 
Hii nchi saizi imekuwa ya walanguzi na wanakingiwa kifua na wapumbavu wasiojielewa kabisa.
Watetezi wao wengi ni malofa ambao unakuta hana hata square meter 600 tu za KIWANJA meter 30 kwa 20.

Lakini makelele yao, utadhani wa maana. Wanaajiriwa au wanalipwa pesa kidogo, mazuzu, punguani wasio na uchungu, kulinda, kutetea na kuwakingia kifua wakwapuaji wa rasilimali zetu.

Na Tanganyika itaporwa mpaka wakati fulani mbeleni vita ya ndani wenyewe kwa wenyewe ipigwe ndiyo heshima itarudi.
 
Wapuuzi sana hawa wanaharakati, wanawajaza vijana hasira wakiwaaminisha nchi yao inaliwa kwa kutumia taarifa feki za kutunga wao wenyewe.

Watanzania wengi wameshawagundua kwamba wanaishi kwa kutegemea uchochezi hawawezi kuwapata vijana wengi wa kuwadanganya ili waingie mtaani kufanya fujo.

Wanatumia kigezo cha kutafuta haki katika kusambaza uongo wao mitandaoni, kwa kifupi imekula kwao.
Tuambie , hiyo barua ni fake ?
Kijiji kilichotajwa kipo au la ?

Wamasai walihamishwa kwa nguvu au sio ? Usitoe maelezo yasiyojibu tuhuma au jambo linaloongelewa.
 
Tuambie , hiyo barua ni fake ?
Kijiji kilichotajwa kipo au la ?

Wamasai walihamishwa kwa nguvu au sio ? Usitoe maelezo yasiyojibu tuhuma au jambo lonaloongelewa.
Hiyo barua nina uhakika ni fekelo. Umiliki wa ardhi unaweza ukawa chini ya serikali ikiwemo halmashauri ya kijiji, mtu binafsi, taasisi au kikundi cha watu. HAKUNA UMUILIKI WA ARDHI UNAORASIMISHWA KWA CHEO CHA MTU. Ukisema ni mmili ni Rais wa JMT, itakuwaje siku akistaafu urais?? Au ukisema umiliki ni wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbinga, itakuwa siku mkurugenzi husika akihamishwa au akistaafu??

Sipendi ufisadi wa watawala lkn hii barua ni feki.
 
Ukisema ni fake, wakati sahihi na jina la mwandishi lipo. Na nukuu ya sheria ya ardhi na kila kitu umekiona, basi hata wale wamasai tuliowaona wakipandishwa malori kuhama kwa nguvu, ilikuwa maigizo.
 
huwa wanawaamini wanaowapa taarifa
Kama ninyi kweli mambo kama haya ya mtu anapata kura 1 ndiye anatangazwa mshindi na aliepata kura 29 anaonekana hafai unadhani kwanini tunaamini hizo taarifa?
WhatsApp Image 2026-07-08 at 1.35.10 PM (1).jpeg
WhatsApp Image 2026-07-08 at 1.35.10 PM.jpeg
 
Hiyo barua nina uhakika ni fekelo. Umiliki wa ardhi unaweza ukawa chini ya serikali ikiwemo halmashauri ya kijiji, mtu binafsi, taasisi au kikundi cha watu. HAKUNA UMUILIKI WA ARDHI UNAORASIMISHWA KWA CHEO CHA MTU. Ukisema ni mmili ni Rais wa JMT, itakuwaje siku akistaafu urais?? Au ukisema umiliki ni wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbinga, itakuwa siku mkurugenzi husika akihamishwa au akistaafu??

Sipendi ufisadi wa watawala lkn hii barua ni feki.
Hata kama we cannot rule out ukweli wa hii taarifa kwa namna serikali hii haramu inavyojiendesha
 
HIYO ARDHI INABADILISHWA UMILIKI KUWA CHINI YA RAIS NA SIO KUWA CHINI YA SAMIA,
ARDHI IKIWA CHINI YA RAIS, MAANA YAKE INAWEZA KUPEWA MUWEKEZAJI KWA FAIDA YA NCHI.
ANGEKUWA AMEJIMILIKISHA, ANGESEMA IWE CHINI YA SAMIA SULUHU HASSAN
Mpaka sasa kwa uzoefu wako ni faida zipi kama nchi imezipata kwa maeneo ambayo yamebadilishwa na kupewa wawekezaji? mostly ni wao kujenga mahotel au kupewa waarabu kwa ajili ya uwindani na kutorosha wanyama......mfano issue ya Ngorongoro
 
Mleta mada na mbulula wenzako rudini shule msome sheria ya ardhi na vijiji ili mjue ardhi yote ya Tanzania ipo chini ya rais kama msimamizi mkuu. Umeona jina la Mama Samia kwenye hiyo barua? Acheni upuuzi.
HER EXCELLENCE ni nani wewe juha?
 
kwani CCM kuiba kura ni jambo geni ? au wewe ni mgeni hapa duniani.
hao jamaa wanaibiana kura hata kwenye chaguzi za ndani ya chama
Kama sio jambo geni unadhani haya mambo mengine kutakuwa na utofauti? si itakuwa business as usual?
 
Back
Top Bottom