Unafokolewa wewe kila ujinga unaomhusu huyo muuaji lazima utetee mbwa wewe.Mnapenda sana kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu.kila muda mnakaa kubuni umbeya ,uzushi na uongo tu .mnashindwa kufanya kazi na kubakia kupiga Majungu tu halafu mnaanza kulalamika kuwa maisha ni Magumu.
Huwezi kujimilikisha nchi nzima.mimi ningekuwa Rais ningejimilikisha nchi nzima
bora hata huyo Samia amechukua kakijipande tuuuu
hapana kuna ka utofauti fulaniKama sio jambo geni unadhani haya mambo mengine kutakuwa na utofauti? si itakuwa business as usual?
it is the way to justify dispossession...........hawa wahuni mbinu zao watu wanazijua 😀hapana kuna ka utofauti fulani
Mnamwonea wivu mama wa watu ana roho nzuri
unalionaje na shule ulikimbia, mambo ya msingi ya nchi mnaingiza utani kama huuSamahani, Sijaona jina Samia hapo.
Hawa wapumbavu ni wengi sana.unalionaje na shule ulikimbia, mambo ya msingi ya nchi mnaingiza utani kama huu
Kumbe bado hujawasoma hawa wezi wanatumia hizo error ku-justify dispossession.Barua
Tatua kwanza changamoto yako ya akiliMnapenda sana kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu.kila muda mnakaa kubuni umbeya ,uzushi na uongo tu .mnashindwa kufanya kazi na kubakia kupiga Majungu tu halafu mnaanza kulalamika kuwa maisha ni Magumu.
Ndio maana wako tayari kufanya mauaji ili waendelee kutafuna nchi japo nao pia hawaijui kesho yaoKama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya ujenzi na huduma mbovu kwa jamii maana sasa uongozi uliopo ni kama kuna mashindano ya kukwapua mali na kodi za umma.
View attachment 3624839
Inabidi tuzidishe dozi kwa hawa manyang'au na wanyonyaji waliokosa akili.
Wewe mvuta bangi naona umeamua kutoelewa.HER EXCELLENCE ni nani wewe juha?
Sio ardhi tu hata nyumba ya kupanga lazima ujiite majina ya uarabuni.We piga kelele ila elewa Zanzibar wewe chogo ardhi hununui...kubwa jinga!
Ok, wewe uliyeenda shule nionyeshe jina la Samiaunalionaje na shule ulikimbia, mambo ya msingi ya nchi mnaingiza utani kama huu