Responded HOJA Namba moja ajimilikisha kijiji cha Ololosokwan, Ngorongoro

Responded HOJA Namba moja ajimilikisha kijiji cha Ololosokwan, Ngorongoro

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Maandamano yenu yameshindikana sasa mnakuja na habari ya kizushi ya kumchonganisha Mkuu wa Nchi na wananchi wake. Fanyeni kazi kuliko kutafuta pesa za miteremko za wazungu, wanawachoka hao watu.
Mkuu raia tunataka katiba mpya, tume huru na utawala wa sheria utakaosaidia kuwe na accountability kwa kuondoa hizi sintofahamu zilizopo now, hivyo hatuna lengo baya
 
Mkuu raia tunataka katiba mpya, tume huru na utawala wa sheria utakaosaidia kuwe na accountability kwa kuondoa hizi sintofahamu zilizopo now, hivyo hatuna lengo baya
Ukimsingizia mkuu wa nchi anamiliki mali bila ya kuwa na ushahidi unaojitosheleza haina maana katiba mpya ikifikanikiwa kuwepo huo upuuzi wa habari za kichochezi eti utafikia ukomo!.

Katiba mpya haiwezi kuwa suluhisho la matatizo yote tuliyonayo, hata ikiwepo uchawa utaendelea tu kuwepo.
 
Sio kumsingizia ni mbinu ambazo CCM wanazitumia kutaifisha ardhi kwa manufaa yao......sijasema hii habari ni ukweli ila nimesema kama itakuwa kweli basi ni muendelezo wa tuhuma nyingi zinazoendelea hapa nchini za kutaifisha mali na ardhi kwa mgongo wa vyeo, haya hata wewe kama upo in your right sense unayajua kama hautaweka uchawa pembeni.
 
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya ujenzi na huduma mbovu kwa jamii maana sasa uongozi uliopo ni kama kuna mashindano ya kukwapua mali na kodi za umma.

View attachment 3624839
Inabidi tuzidishe dozi kwa hawa manyang'au na wanyonyaji waliokosa akili.
Wakati mwingine inabidi ujifunze zaidi.. hapo hiyo ardhi ipo chini ya Rais nasio Samia Suluhu Hasan
 
Wakati mwingine inabidi ujifunze zaidi.. hapo hiyo ardhi ipo chini ya Rais nasio Samia Suluhu Hasan
Asante kwa kuwapa shule hawa jamaa, kila kitu wanakiweka kwenye mazingira ya kusingizia viongozi.

SSH ana shughuli nyingi sana za kiserikali anazifanya kila kukicha, kumsingizia ni kumkosea heshima.

Rais ni mmiliki wa ardhi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
HIYO ARDHI INABADILISHWA UMILIKI KUWA CHINI YA RAIS NA SIO KUWA CHINI YA SAMIA,
ARDHI IKIWA CHINI YA RAIS, MAANA YAKE INAWEZA KUPEWA MUWEKEZAJI KWA FAIDA YA NCHI.
ANGEKUWA AMEJIMILIKISHA, ANGESEMA IWE CHINI YA SAMIA SULUHU HASSAN

toka lini ardhi inasajiliwa kuwa chini ya "OWNERSHIP OF PRESIDENT" ???

Na toka lini kikiji kikawa HALMASHAURI ???

Hii barua imekaa kama feki

Japo huwezi kusema ujambazi kama huu haujapata tokea.
Ndo maana watu walihamishiwa Tanga
 
Hiyo pdf inaonekana kabisa imeeditiwa, mfano mchanganyiko wa lugha kiswahili vs kiingereza, so nahisi ni fake
 
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya ujenzi na huduma mbovu kwa jamii maana sasa uongozi uliopo ni kama kuna mashindano ya kukwapua mali na kodi za umma.
Inabidi tuzidishe dozi kwa hawa manyang'au na wanyonyaji waliokosa akili.

Pia soma ~ Ufafanuzi wa notisi zilizotolewa kwa vijiji vya Ololosokwan, Soitsambu, Enguserosambu, Arash na Losoito

01 August 2026

SAMIA ATUMIWA UJUMBE WA KUTISHA NA WAMASAI WA NGORONGORO

View: https://m.youtube.com/watch?v=5ZtPd1HYIEk
Mradi wa kuanzisha Wildlife Management Area WMA katika eneo la Lake Natron waibuliwa na wananchi wa vijiji vya Loliondo ambavyo vimesajili kwa miongo mingi chini ya sheria za vijiji kuanza kukiukwa na serikali

Kassim Majaliwa, Mongella, Paul Makonda, Samia walaumiwa

Kwa mfano kijiji cha Ngaresero (Engaresero) na Loliondo ni maeneo ya utawala na vijiji ndani wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha Tanzania utaadhiriwa na mradi huo wa uhifadhi wa ziwa Lake Natron, campsite na hoteli

Mambo mpya ni kuwa tarafa 3 kwa wakati mmoja zikizo ndani ripoti ya Tume kuchunguza mgogoro wa ardhi, sasa kunyakuliwa ardhi zao

Vijiji Vikuu na Maeneo ya Loliondo
Ololosokwan: Kijiji na kata inayopakana na Kenya na Serengeti, yenye vitongoji kama Sero na Mairowa.

Soitsambu: Kijiji kikubwa cha wafugaji kilichopo katika tarafa hii.

Arrash: Kijiji kinachopatikana kwenye ukanda wa rasilimali za ardhi ya ufugaji.

Enguserosambu (Ngwarrwa): Eneo na kijiji kinachojulikana kwa shughuli za kijamii na ufugaji.

Oloirien na Magaiduru: Vijiji vya jirani vinavyounda jamii za kichungaji.

Oloipir na Maalon: Vijiji vya pembezoni mwa tarafa hiyo.

Sakala na Orgosorok: Maeneo yenye mji mdogo wa utawala wa Loliondo.

1785598899963.png
 
Back
Top Bottom