DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,610
- 2,874
Duh kumbe usalama wa kutosha humu ndani
Ebu niende kwenye thread zako za nyuma nikaone huwa unaandika na kuchangia nini nitacheka nikikuta upo kwenye kula tunda kimasihara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kumbe usalama wa kutosha humu ndani
Ebu niende kwenye thread zako za nyuma nikaone huwa unaandika na kuchangia nini nitacheka nikikuta upo kwenye kula tunda kimasihara
Hivi TISS huwa ipo wizara au ofisi gani?Kwanza Polisi hawahusiki na hiyo namba.
Pili hizo namba huwa assigned kama Ofisi ya Rais
Hizo namba huombwa mtandao wowote kutumia walaka wa Ofisi ya Rais, na hutumiwa na mtu yeyote wa Taasisi zinazoangukia Ofisi ya Rais wakiwemo TISS etc
Ni sawa na Magari ya Ikulu, TISS etc yote ni Ofisi ya Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ndo haya haya,kuogopana kwioMheshimiwa ungetumia
Busara kwenda ofisi husika na kulipoti hilo kuliko kuja huku na kusema hivyo uoni unajitengenezea mazingira magumu kwako? Kwaza kwa serikali na pili kwa huyo mtu ni hatari kwako? Futa hii tjreead ushauri tu
Kuna watu walikuwa hawajui namba ya rais inaishia 999 lakini ww umevujisha lakini zaidi kutoa taarifa public na sehemu husika unazijua za kurepot na kushughulikiwa sijaona sababu ya weee kuleta hapa
TISS ipo Ofisi ya RaisHivi TISS huwa ipo wizara au ofisi gani?
Yaani kama JWTZ ipo wizara ya ulinzi..Polisi ipo mambo ya ndani.
Acha ujinga sasa hatari ya nini ? Acheni kukuza mambo.Mheshimiwa ungetumia
Busara kwenda ofisi husika na kulipoti hilo kuliko kuja huku na kusema hivyo uoni unajitengenezea mazingira magumu kwako? Kwaza kwa serikali na pili kwa huyo mtu ni hatari kwako? Futa hii tjreead ushauri tu
Ww ulikuwa unajua ilo au ulishawai kuwa nayo namba yake?Sasa kama iko mtandaoni telegram kuna siri tena?
Rip jpm wetu
Yeye ndio ameyakuzaAcha ujinga sasa hatari ya nini ? Acheni kukuza mambo.
I thought i ..,....... myself only.....au basi 🤐Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya marehemu rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
yule alikuwa sauti ya watu wengi sana, huwezi mfananisha na mimi ambaye hata sijulikani....na Mungu huwezi mpangia, ugonjwa aliougulia hata sijaujua hadi leo maana waliokuwa wanatoa taarifa walikuwa hawaeleweki na taarifa zao 😕 🙁Kwa hiyo unampangia Mungu siyo? Wewe unajua siku utakayoondoka na jinsi utakavyoondoka?
Mnatutisha sasa niny watuNililiona hili jumapili nilishangaa sana ila nikakausha
View attachment 2452129