Namba ya Hayati Rais Magufuli inayoishia 9999 imejiunga Telegram

Hivi TISS huwa ipo wizara au ofisi gani?

Yaani kama JWTZ ipo wizara ya ulinzi..Polisi ipo mambo ya ndani.
Ofisi ya Rais (sponsor) ,ukisikia kina Membe wanasema "nilianzia kazi ofisi ya Rais" huwa wanamaanisha TISS
 
Kuna jamaa yangu wa karibu aliwai kuwa namba zilikuwa zinaingiliana na ya Mzee Magu. Alisajili hiyo laini kabla ya kampeni na
Kwa mara kadhaa alikuwa anapokea simu huku wapiga simu wakidhani wanampigia Magu.. Hali hiyo ilimtia hofu sana hadi akawa anaiweka hiyo laini hewani kwa machale
sana. kuna wakati alikuwa ana Maliza hadi mwezi bila kuiweka hewani hiyo laini.

Baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015 kuna mwanaccm mmoja mkubwa huko Biaramulo (ni Mtutsi) anaitwa Mrefu alimpigia simu Jamaa na kuanza kumpa hongera nyingi jamaa akamjibu "mzee yuko bize" akakata simu.

What broke camel's back kuna siku alipigiwa simu na kiongozi mmoja mkubwa (jina kampuni)

Jamaa"we nani?
Mpiga simu"mimi fulani"
Jamaa"mzee yuko bize" akakata simu.. Toka hiyo siku akaivunja hiyo laini.
Kuna wakati nahisi Ilikua ni fursa ya kupiga hela kupitia hiyo laini ila hofu ilitutekea, tukaogopa
Mngepiga pesa siku moja iingie hata milioni 2 then mnqivunja
 
Z
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Namba zinazoishia na 9999 sidhani kama ni moja
 
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Imeshauzwa sio yake tena
 
Yeye mwenyewe ndo anaitumia.
 
Kwanza Polisi hawahusiki na hiyo namba.

Pili hizo namba huwa assigned kama Ofisi ya Rais.

Hizo namba huombwa mtandao wowote kutumia walaka wa Ofisi ya Rais, na hutumiwa na mtu yeyote wa Taasisi zinazoangukia Ofisi ya Rais wakiwemo TISS etc

Ni sawa na Magari ya Ikulu, TISS etc yote ni Ofisi ya Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo nyeti aisee
 
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.

Hiyo namba ni ya ofisi kama ofisi sii yake peke yake na ndio maana hata ukiipiga sa hivi iko hewani.naomba niishie hapo tafadhali[emoji2312]
 
Ila Jiwe mbishi sana kafa lakini anaendelea kuishi. Sijui afe marangapi?

Fak
 
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Unakaa na namba ya mzoga Ili uwe unawaonyesha majuha wenzio kwamba ulikua nayo unjinga mzigo
 
Acha wivu Mkuu, namba yoyote usipoitumia kwa muda mrefu anapewa mtu mwingine. Hata mimi nna namba zangu za zamani nlizopoteza line ambazo saivi nikipiga wanapokea watu wengine.
Kama unabisha tupa hio line yako alafu baada ya miaka miwili ipige usikie
 
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Acha uzembe wewe
0765289999
0765279999
0765269999
0742119999
0784219999
0620269999
Nk.

Sasa unataka namba zote hizi zenye 9999 mwisho ziondolowe?
 
Back
Top Bottom