Namba ya Hayati Rais Magufuli inayoishia 9999 imejiunga Telegram

Namba ya Hayati Rais Magufuli inayoishia 9999 imejiunga Telegram

Kakufa Kakufa tu!! Makampuni yanataka bznes ziendelee sawa.eti ifutwe unadata ww.wakose mapato sio ndio.

Tunachokijua:
 
Acha wivu Mkuu, namba yoyote usipoitumia kwa muda mrefu anapewa mtu mwingine. Hata mimi nna namba zangu za zamani nlizopoteza line ambazo saivi nikipiga wanapokea watu wengine.
Kama unabisha tupa hio line yako alafu baada ya miaka miwili ipige usikie
We na hamnazo

Nani asiejua Hilo mbona me nimemuelewa mleta mada
 
Acha uzembe wewe
0765289999
0765279999
0765269999
0742119999
0784219999
0620269999
Nk.

Sasa unataka namba zote hizi zenye 9999 mwisho ziondolowe?
Mkuu hujamuelewa.
Hajasema namba yoyote inayoishia 9999 ni ya hayati Magufuli au isitumike.
Amekusudia kushauri namba inayoishia 9999 iliyokuwa inatumiwa na Magufuli akiwa hai isitishwe matumizi.
Hapo hakutaka kuiandika yote kwa sababu maalumu.
 
yule alikuwa sauti ya watu wengi sana, huwezi mfananisha na mimi ambaye hata sijulikani....na Mungu huwezi mpangia, ugonjwa aliougulia hata sijaujua hadi leo maana waliokuwa wanatoa taarifa walikuwa hawaeleweki na taarifa zao 😕 🙁
We sidhani Kama Ni mzma
 
Mkuu hujamuelewa.
Hajasema namba yoyote inayoishia 9999 ni ya hayati Magufuli au isitumike.
Amekusudia kushauri namba inayoishia 9999 iliyokuwainatumiwa na Magufuli akiwa hai isitishwe matumizi.
Hapo hakutaka kuiandika yote kwa sababu maalumu.
Sasa kashakufa mnabana namba😁
 
Sasa kashakufa mnabana namba😁
Mkuu hata kwenye michezo kuna namba za jezi zinastahafishwa (retire) pale mchezaji maarufu na mkubwa anapostahafu au kufariki. Mfano jezi ya Kobe Bryant.
 
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Una maanisha Ile ya
075...55....99????
Lastly profile yake ya wasap ilikuwa picha ya Ng'ombe.

Mbona telegram sijaiona?
 
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa na mtu.
Kweli inaonesha last seen 18 Dec
hii haijaka vyema kabisa
IMG-20221220-WA0000.jpg
 
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa na mtu.
Kwa hiyo unalia au unajiliza?
 
Nimeshangaa mkuu..ni ile no aliokuwa ameweka profile picture ya ngombe whatsapp....nikaona tarehe 18 joined tellegram
 
Ingawa upo pia utaratibu wa no isipotumika mda mrefu anauziwa mtu mwingine na mitandao ya simu....ila kwa hii sijui imekaaje
 
Back
Top Bottom