Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ofisi ya Rais (sponsor) ,ukisikia kina Membe wanasema "nilianzia kazi ofisi ya Rais" huwa wanamaanisha TISSHivi TISS huwa ipo wizara au ofisi gani?
Yaani kama JWTZ ipo wizara ya ulinzi..Polisi ipo mambo ya ndani.
Mngepiga pesa siku moja iingie hata milioni 2 then mnqivunjaKuna jamaa yangu wa karibu aliwai kuwa namba zilikuwa zinaingiliana na ya Mzee Magu. Alisajili hiyo laini kabla ya kampeni na
Kwa mara kadhaa alikuwa anapokea simu huku wapiga simu wakidhani wanampigia Magu.. Hali hiyo ilimtia hofu sana hadi akawa anaiweka hiyo laini hewani kwa machale
sana. kuna wakati alikuwa ana Maliza hadi mwezi bila kuiweka hewani hiyo laini.
Baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015 kuna mwanaccm mmoja mkubwa huko Biaramulo (ni Mtutsi) anaitwa Mrefu alimpigia simu Jamaa na kuanza kumpa hongera nyingi jamaa akamjibu "mzee yuko bize" akakata simu.
What broke camel's back kuna siku alipigiwa simu na kiongozi mmoja mkubwa (jina kampuni)
Jamaa"we nani?
Mpiga simu"mimi fulani"
Jamaa"mzee yuko bize" akakata simu.. Toka hiyo siku akaivunja hiyo laini.
Kuna wakati nahisi Ilikua ni fursa ya kupiga hela kupitia hiyo laini ila hofu ilitutekea, tukaogopa
Tiss na Takukuru wapo ofisi ya Rais utumishi.Hivi TISS huwa ipo wizara au ofisi gani?
Yaani kama JWTZ ipo wizara ya ulinzi..Polisi ipo mambo ya ndani.
Namba zinazoishia na 9999 sidhani kama ni mojaSijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Imeshauzwa sio yake tenaSijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Kwani wakulu ndo hawali tunda kimasiharaDuh kumbe usalama wa kutosha humu ndani
Ebu niende kwenye thread zako za nyuma nikaone huwa unaandika na kuchangia nini nitacheka nikikuta upo kwenye kula tunda kimasihara
Yeye mwenyewe ndo anaitumia.Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Mambo nyeti aiseeKwanza Polisi hawahusiki na hiyo namba.
Pili hizo namba huwa assigned kama Ofisi ya Rais.
Hizo namba huombwa mtandao wowote kutumia walaka wa Ofisi ya Rais, na hutumiwa na mtu yeyote wa Taasisi zinazoangukia Ofisi ya Rais wakiwemo TISS etc
Ni sawa na Magari ya Ikulu, TISS etc yote ni Ofisi ya Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Unakaa na namba ya mzoga Ili uwe unawaonyesha majuha wenzio kwamba ulikua nayo unjinga mzigoSijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Kama Yesu tu ajafa yu hai..Ila Jiwe mbishi sana kafa lakini anaendelea kuishi. Sijui afe marangapi?
Fak
Ndugu zako walivokufa uliamini ila magu hutaki amini😁 nyie mmelogwa si bureNikikumbuka nazidi kuumia, namna alivyokufa kufa hata siamini aisee! 🙁 😡
Nililiona hili jumapili nilishangaa sana ila nikakausha
View attachment 2452129
Acha uzembe weweSijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Ipo IkuluHivi TISS huwa ipo wizara au ofisi gani?
Yaani kama JWTZ ipo wizara ya ulinzi..Polisi ipo mambo ya ndani.