Siko telegram kama huyu mtu kaona na wengine wataona. No yake nilikuwa nayo ya airtel nishafuta haina maana. Nikifa nitamtafuta kwa mguu kumsalimia.Ww ulikuwa unajua ilo au ulishawai kuwa nayo namba yake?
We na hamnazoAcha wivu Mkuu, namba yoyote usipoitumia kwa muda mrefu anapewa mtu mwingine. Hata mimi nna namba zangu za zamani nlizopoteza line ambazo saivi nikipiga wanapokea watu wengine.
Kama unabisha tupa hio line yako alafu baada ya miaka miwili ipige usikie
Mkuu hujamuelewa.Acha uzembe wewe
0765289999
0765279999
0765269999
0742119999
0784219999
0620269999
Nk.
Sasa unataka namba zote hizi zenye 9999 mwisho ziondolowe?
We sidhani Kama Ni mzmayule alikuwa sauti ya watu wengi sana, huwezi mfananisha na mimi ambaye hata sijulikani....na Mungu huwezi mpangia, ugonjwa aliougulia hata sijaujua hadi leo maana waliokuwa wanatoa taarifa walikuwa hawaeleweki na taarifa zao 😕 🙁
Sasa kashakufa mnabana namba😁Mkuu hujamuelewa.
Hajasema namba yoyote inayoishia 9999 ni ya hayati Magufuli au isitumike.
Amekusudia kushauri namba inayoishia 9999 iliyokuwainatumiwa na Magufuli akiwa hai isitishwe matumizi.
Hapo hakutaka kuiandika yote kwa sababu maalumu.
Roho nzuri HafiAcha uchonganishi
Mkuu hata kwenye michezo kuna namba za jezi zinastahafishwa (retire) pale mchezaji maarufu na mkubwa anapostahafu au kufariki. Mfano jezi ya Kobe Bryant.Sasa kashakufa mnabana namba😁
Hawa system wapo kila kona.Duh! Kumbe humu kuna system kabisa
Una maanisha Ile yaSijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Kweli inaonesha last seen 18 DecSijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa na mtu.
Kwa hiyo unalia au unajiliza?Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa na mtu.