Namba ya kuripoti RUSHWA TRA

Namba ya kuripoti RUSHWA TRA

Jay Milionea

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
1,185
Reaction score
154
Wananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana mishahara mizuri tu.

Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.
 
Hivi unaamini kbisa namba za costumer service's za taasisi za serikal,hahaha labda kama uwe umezaliwa miak ya 2009.
Zina vioja vya ajabu..

Unaweza piga ukaambiwa hakikisha namba unayopiga au jaribu tena baadae.
Vichekesho ni vingi sana ..
 
Wananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana mishahara mizuri tu. Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.
Hii namba mbona admin alishaleft

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Safi hiyo namba ya Rushwa tra tunawashukuru ngoja nisave kwenye kidiary changu.Ila tunaomba tra mtutoe hofu kuhusu kureport .Hii itasaidia sana tuweze kuwapa taarifa moja kwa moja kuliko pitia mitandao
 
Wananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana mishahara mizuri tu. Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.
Labda kipindi cha jpm kwa sasa kuanzia raisi aliyopo hadi watendaji hawapo serous kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaamini kbisa namba za costumer service's za taasisi za serikal,hahaha labda kama uwe umezaliwa miak ya 2009.
Zina vioja vya ajabu..

Unaweza piga ukaambiwa hakikisha namba unayopiga au jaribu tena baadae.
Vichekesho ni vingi sana ..
Havahaaa hii 0800 kitaalam hizi ni za bure hazinaga Mambo hayo wee gonga tu no huruma sikayataka mwenyewe kwa kuomba ,piga tu namba hiyo
 
Hivi unaamini kbisa namba za costumer service's za taasisi za serikal,hahaha labda kama uwe umezaliwa miak ya 2009.
Zina vioja vya ajabu..

Unaweza piga ukaambiwa hakikisha namba unayopiga au jaribu tena baadae.
Vichekesho ni vingi sana ..
Mbona sasa hujacheka??
 
  • Kicheko
Reactions: 1gb
Back
Top Bottom