Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Wananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana mishahara mizuri tu.
Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.
Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.