Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
😁😁😁😁😁@ presi daa."kila mmoja ale eneo lake kwa urefu wa kamba yake"
Hii namba mbona admin alishaleftWananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana mishahara mizuri tu. Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.
We twanga tu hiyo namba, acha wogaNaomba mleta mada unisomee tena sheria yetu ya kulinda Whistleblowers/wafichua maovu hapa nchini.
Hapa Safi hiyo namba ya Rushwa tra tunawashukuru ngoja nisave kwenye kidiary changu.Ila tunaomba tra mtutoe hofu kuhusu kureport .Hii itasaidia sana tuweze kuwapa taarifa moja kwa moja kuliko pitia mitandaoWananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana mishahara mizuri tu. Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.
Duh! Sheria ndiyo bodigadi wangu, vinginevyo si tii timu uwanjani bila kumuona bodigadi wangu.We twanga tu hiyo namba, acha woga
Labda kipindi cha jpm kwa sasa kuanzia raisi aliyopo hadi watendaji hawapo serous kabisaWananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana mishahara mizuri tu. Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.
Havahaaa hii 0800 kitaalam hizi ni za bure hazinaga Mambo hayo wee gonga tu no huruma sikayataka mwenyewe kwa kuomba ,piga tu namba hiyoHivi unaamini kbisa namba za costumer service's za taasisi za serikal,hahaha labda kama uwe umezaliwa miak ya 2009.
Zina vioja vya ajabu..
Unaweza piga ukaambiwa hakikisha namba unayopiga au jaribu tena baadae.
Vichekesho ni vingi sana ..
Mzee nilipigwa na kitu kizito na hao jamaa aisee acha tuTatizo Kuna maeneo ukibanwa Wala hakuna mtu atakuomba rushwa bali wewe utambembeleza apokee
Jamii forum
Mbona sasa hujacheka??Hivi unaamini kbisa namba za costumer service's za taasisi za serikal,hahaha labda kama uwe umezaliwa miak ya 2009.
Zina vioja vya ajabu..
Unaweza piga ukaambiwa hakikisha namba unayopiga au jaribu tena baadae.
Vichekesho ni vingi sana ..