Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Km wangapi hivi???.Kichere alifukuza Sana maofisa wa TRA Wala rushwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km wangapi hivi???.Kichere alifukuza Sana maofisa wa TRA Wala rushwa.
Mkuu acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee nilipigwa na kitu kizito na hao jamaa aisee acha tu
Umeona eenhh?!!!.Tena utatamani sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa iondolewe.Tatizo Kuna maeneo ukibanwa Wala hakuna mtu atakuomba rushwa bali wewe utambembeleza apokee
Jamii forum
HahaUmeona eenhh?!!!.Tena utatamani sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa iondolewe.
Sasa sijui tutashitaki kwa nani, Takukuru wenyewe wakikukamata cha kwanza wanachokuuliza una bei gani tumalize hii ishuWananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana mishahara mizuri tu. Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.
Kama wote.Km wangapi hivi???.
Wajomba waliofanyiwa kwny tax audit/investigation wanaelewa Sana hii 😄😄😄.Tatizo Kuna maeneo ukibanwa Wala hakuna mtu atakuomba rushwa bali wewe utambembeleza apokee
Jamii forum
Kwa hali ilivyo Tanzania kwa sasa, sidhani kama kuna check and balance ya UKWELI. Hizo namba kwa mawazo yangu ni utaratibu tu. Je tunauhakika gani kuwa hao wenye kupokea taarifa hizo, wao hawali kwa kufuata urefu wa Kamba zao?Wananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana mishahara mizuri tu. Tusiwe waoga ukiona anakuomba rushwa we lengesha cm yako mpige picha kimya kimya tuma kwa whatsapp au piga ile namba ya Airtel useme hiyo kero. Hapo utakua umemaliza.
Wajomba waliofanyiwa kwny tax audit/investigation wanaelewa Sana hii 😄😄😄.
Na wale wa Arrears/interests/penalties nao wanaelewa hicho ulichokisema
Itakuwa watu wanaowasimamia Hawa tra sibure Cha msingi hapa ni kuona tunasaidiwa.Hii Ni taasisi nyeti itakuwa pengine ni watu Maalum wanawachunguza tuwape ushirikiano ili Hawa njaa njaa wakomeshweKwa hali ilivyo Tanzania kwa sasa, sidhani kama kuna check and balance ya UKWELI. Hizo namba kwa mawazo yangu ni utaratibu tu. Je tunauhakika gani kuwa hao wenye kupokea taarifa hizo, wao hawali kwa kufuata urefu wa Kamba zao?
Tumeshuhudia jinsi vyombo vya haki vinavyo zungukwa na tuhuma za kukosa uadilifu (Mahakama, Police n.k.) kuna maneno mengi juu yao, hata Mh Rais alishawahi kuvisema hadharani. Sasa hizo namba za rushwa TRA wanapokea Malaika au hawa hawa Wananzengo wenzetu. Inafika mahala sasa kila mtu anaishi anavyo jua mwenyewe.
Bado SanaHuyu ataripotiwa lini?👇
View attachment 2082101