Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

Pm mpya kila siku?
Tht is not u confused m with sm1 else.anyway ni ngumu kukushawishi unacho amini sio...i rest my case & keep hope for the best.mchana mwema
Ile uliyotuma mwaka huu si yako?
 
Tulio soma zile hesabu za Permutation na Combination hapo lazima utashangaa na nafsi yako, hatukosei.Ngoja apigiwe.
Ahahahahahaha......
Una permutate wee halaf una combine ...ukisha pata msululu wa namba zako unaanza kukomaa Piga moja baada ya nyingine 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom