Namba za kupiga na kutambua kama Simu yako imehakiwa au inafuatiliwa, kuibiwa n.k

Namba za kupiga na kutambua kama Simu yako imehakiwa au inafuatiliwa, kuibiwa n.k

Unapo bonyeza *#62# kwenye simu yako na kupata ujumbe unaosema "voice +25521, fax +25521," hii ina maana kwamba simu zako zinazokosa kupokelewa (missed calls) zimeelekezwa (forwarded) kwenda namba hiyo (+25521) kwa huduma ya sauti (voice) na faksi (fax).

Hapa kuna uwezekano kadhaa:
1. Sauti (Voice Call Forwarding): Simu zako za kawaida za sauti ambazo hazijibiwi zimeelekezwa kwa namba ya +25521.
2. Faksi (Fax Forwarding): Simu zinazotuma faksi pia zimeelekezwa kwa namba hiyo hiyo.

+25521 inaweza kuwa namba ya default inayowekwa na mtoa huduma wako wa simu kwa huduma ya ujumbe wa sauti (voicemail). Unaweza kuwasiliana na mtoa huduma wako kwa maelezo zaidi au kubadilisha mipangilio ya uelekezaji wa simu ikiwa unahitaji.

Je, ungependa kubadilisha hali hiyo? Naweza kuelezea jinsi ya kuifanya.
Asante Sana
 
Nifanyeje pale ninapogundua ninafwatiliwa??
 
View attachment 2986100
Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua.

Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi.
  1. Kujua namba ya utambuzi wa Simu yako (IMEI): *#06#
  2. Kujua kama uliyempigia ameona Missed Calls zako na amejikausha *#61#
  3. Kujua kama Simu unazopiga au kupigiwa zinasikilizwa na mtu mwingine: *#62#
  4. Kujua namba ya Simu inayosikiliza Simu zako: *#67#
  5. Kujua taarifa zako zinazosikilizwa: *#004#
  6. Kufuta mawasiliano yako yanaingiliwa na mtu yeyote: ##002#
  7. Kujua kama namba yako imeingiliwa: *#21#
  8. Kujua kama umeingiliwa kivyovyote (Kwa Android): ##4636## au ##197328640##
  9. Kujua kama umeingiliwa kivyovyote (Kwa iPhone): 3001#12345#
  10. Kufuatilia Simu yako iliyoibiwa au kupotea (Kwa Android): ##1472365##
  11. Kuangalia Firmware ya Camera (Kwa Android): ##34971539#*#
  12. Kujua anuani ya MAC (Kwa Android): ##232338##
  13. Kuirejesha Simu yako katika Simu hatua ya awali ya kuundwa (Factory Reset) (Kwa Android): ##7780##
  14. Kufuta kila kitu kwenyd Simu (Kwa Android): *2767*3855#
No 8
Hatareeee kama nimeingiliwa weweewww naijuaahiooooooo
Hapanaaa
 
X#62# inatakiwa ikupe hiohapoo
 

Attachments

  • Screenshot_20241001-002153_Phone.jpg
    Screenshot_20241001-002153_Phone.jpg
    90.8 KB · Views: 25
Unataka shmeji asoone no yako
#31#no yake#
Itatokea kwake priv no
 
ukitaka kujua simu zinazokufwatilia

whatsup

fungua whatsup nenda juu kulia bonanza setting nenda linked device kama kuna mshenzi anafwatilia simuyako utamwona hapo
Kamahapo android....
 

Attachments

  • Screenshot_20241001-012803_Lite.jpg
    Screenshot_20241001-012803_Lite.jpg
    420.4 KB · Views: 19
Calibearing usiwezepiga simu yoyote

X33x0000#

Kuondoaa
#33×0000#
 
Kama una Samsung ukobusy moono inamaji huwezi fungua password set hivi

Nenda kwenye call nenda juu kulia vidot vile bonanza nenda setting
Nenda answering n ending calls
Nenda press volume up to answer calls

After ukipigiwa huitaji kugusa screen

Nenda ongeza sauti straight mnanza kaongezi
 
Kuzia usumbufu wa msg zozote kuingia kwa simuyako

Nenda sehemu ya kupigia andika
×35×0000×16#

Kuruhusu usumbufu wa msg kuingia
#35×0000×16#
 
Kutaka kujua umetruckiwa na wahuni
Nenda
Sehemuyakupigia andoka
×#21#
Ukikuta kuna namba kama attachments mmh umoo na wasioju....kuondoa hizo no zinazokuchunguza andkka

##002#

Bye-bye zao
 

Attachments

  • Screenshot_20241001-014818_Lite.jpg
    Screenshot_20241001-014818_Lite.jpg
    315.8 KB · Views: 22
Kama una smart TV
Download hii application attached
Fingua wifi hakikisha same unatumua kwa ur smart TV after itakuletea jina la TV yako connect

Utaanza kutumia simuyako kama remote
 

Attachments

  • Screenshot_20241001-015415_Lite.jpg
    Screenshot_20241001-015415_Lite.jpg
    321.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20241001-015254_Lite.jpg
    Screenshot_20241001-015254_Lite.jpg
    281.3 KB · Views: 19
Back
Top Bottom