Mbuguni TPC
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 535
- 405
thread nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante SanaUnapo bonyeza *#62# kwenye simu yako na kupata ujumbe unaosema "voice +25521, fax +25521," hii ina maana kwamba simu zako zinazokosa kupokelewa (missed calls) zimeelekezwa (forwarded) kwenda namba hiyo (+25521) kwa huduma ya sauti (voice) na faksi (fax).
Hapa kuna uwezekano kadhaa:
1. Sauti (Voice Call Forwarding): Simu zako za kawaida za sauti ambazo hazijibiwi zimeelekezwa kwa namba ya +25521.
2. Faksi (Fax Forwarding): Simu zinazotuma faksi pia zimeelekezwa kwa namba hiyo hiyo.
+25521 inaweza kuwa namba ya default inayowekwa na mtoa huduma wako wa simu kwa huduma ya ujumbe wa sauti (voicemail). Unaweza kuwasiliana na mtoa huduma wako kwa maelezo zaidi au kubadilisha mipangilio ya uelekezaji wa simu ikiwa unahitaji.
Je, ungependa kubadilisha hali hiyo? Naweza kuelezea jinsi ya kuifanya.
Kuwa makiniNimeikuta hii namba +255128 baada ya kupiga *#62# wataalamu hii inamaanisha nini?
No 8View attachment 2986100
Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua.
Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi.
- Kujua namba ya utambuzi wa Simu yako (IMEI): *#06#
- Kujua kama uliyempigia ameona Missed Calls zako na amejikausha *#61#
- Kujua kama Simu unazopiga au kupigiwa zinasikilizwa na mtu mwingine: *#62#
- Kujua namba ya Simu inayosikiliza Simu zako: *#67#
- Kujua taarifa zako zinazosikilizwa: *#004#
- Kufuta mawasiliano yako yanaingiliwa na mtu yeyote: ##002#
- Kujua kama namba yako imeingiliwa: *#21#
- Kujua kama umeingiliwa kivyovyote (Kwa Android): ##4636## au ##197328640##
- Kujua kama umeingiliwa kivyovyote (Kwa iPhone): 3001#12345#
- Kufuatilia Simu yako iliyoibiwa au kupotea (Kwa Android): ##1472365##
- Kuangalia Firmware ya Camera (Kwa Android): ##34971539#*#
- Kujua anuani ya MAC (Kwa Android): ##232338##
- Kuirejesha Simu yako katika Simu hatua ya awali ya kuundwa (Factory Reset) (Kwa Android): ##7780##
- Kufuta kila kitu kwenyd Simu (Kwa Android): *2767*3855#
Pdidy huyo mwondoeNimeikuta hii namba +255128 baada ya kupiga *#62# wataalamu hii inamaanisha nini?
Hata kwangu pia
##002#Nimeikuta hii namba +255128 baada ya kupiga *#62# wataalamu hii inamaanisha nini?