Na kujibu email nalo tatizo kubwa sana kwenye taasisi na idara za serikali mfano NACTE bure kabisa
Sio kipindi hiki kwanikipindi hiki kinatofauti gani na vipindi vingine? Tunachotaka namba ziwe update na lazima ziwe TTCL na sio vinginevyo.Tatizo la kanchi ketu kila jambo ni siasa eti mpaka upitie kwa flani.Katika kipinfi hiki ni vema mawasilianonyakawa ya uhakika zaidi.