Namba za simu za Ofisi nyingi za Serikali hazipatikani

Asilimia 95 ya mawasiliano kwenye hizi ofisi za serikali ni mapambo tu utapiga simu miaka na miaka haziwezi pokelewa kamwe, tuma email kamwe hazijibiwi.

..........Ufanyaji kazi kwa mazoea bado upo sana.
 
Taa sisi nyingi za Serikali mtu mtu akiwa na suala la Kikazi akiomba namba ya simu au email, anapewa namba ya simu binafsi na email binafsi; kitu ambacho sio sawa kabisa kwani baada ya muda ukipiga unaambiwa; mimi nimehamishwa?
Sasa hivi mtandao wa TTCL unafanya kazi vizuri hivyo ikiwapendeza simu za offisi zihuishwe na hata email za ofisi na ziwekwe wazi kwenye mtandao
 
Hawa jamaa huwa hawapokei simu wala kujibu emails
Kama hapa nina siku ya tatu napiga simu TCU hawapokei kabisa
 
Hio ni kawaida sana kwa ofisi nyingi za umma. Pitia tovuti za serikali (hasa TAMISEMI i.e tovuti za mikoa) ni kichefuchefu sana. Kimsingi inatakiwa tovuti iwe na taarifa zote muhimu, ambazo hazimlazimu mtu kufika katika mkoa husika kuzifuata, ikiwemo fomu mbalimbali.
 
Siwatetei, inakera sana hawapokei simu - kwa kifupi wamezidiwa na wameshindwa kujua jinsi ya kusolve matatizo
 
Hawa jamaa huwa hawapokei simu wala kujibu emails
Kama hapa nina siku ya tatu napiga simu TCU hawapokei kabisa
Sasa kutokujibu simu na emails kwa TCU ndio imekuwa ofisi zote za serikali mkuu,nadhani pia kutakuwa na sanduku la maoni pale umeshawahi kuandika malalamiko pale ili kusaidia kuboresha huduma...?
 
Wote ndo hao hao.
Sijui namba za simu wameweka za nini.

Hebu piga simu ofisi kumi za Serikali au tuma emails uone kama ni moja au mbili tu ndio wata respond
 
Sasa kutokujibu simu na emails kwa TCU ndio imekuwa ofisi zote za serikali mkuu,nadhani pia kutakuwa na sanduku la maoni pale umeshawahi kuandika malalamiko pale ili kusaidia kuboresha huduma...?
Dah. Bro, mtu atoke Namtumbo Ruvuma akaweke maoni kwenye sanduku la maoni TCU Dodoma ama Dar? Angeweza kutuma kwa email, lakini ndio hivyo hazisomwi
 
Tatizo ni kubwa hata ukiingia kwenye website ya wizara husika namba zilizomo ukipiga hazipatikani. Kwa miezi 2 nahangaika kutafuta mawasiliano na mheshimiwa naibu waziri Bashe ili nimueleze e yaliyo tupata wakulima wa korosho Mlandizi Kibaha kwa korosho tulizo uza October 2018 bila mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mcheki Facebook au Instagram

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa huwa hawapokei simu wala kujibu emails
Kama hapa nina siku ya tatu napiga simu TCU hawapokei kabisa

Jingine ni kuwa wao kudhani:

1. Muda wa kwao wao ni mali sana.
2. Wengine wote wanao muda wote kuwasubiri wao kwenye maofisi yao. Kukwambia wewe njoo kesho au wana mkutano au wamekwenda kunywa chai wakati wa kazi, nk hiyo kwao ni sawa tu.
3. Kudhani wao hawawezi kukosea Ila wenye makosa wanaweza kuwa wewe na wengine wote. Yaani wao ni manyani wasioona maku*du yao.
4. Nk

Uhalisia kamili wa taasisi zote zinazoundwa na serikali yoyote dhwalimu!
 
Sijui ni nani anahusika ku huisha namba za Ofisi za Serikali kama za Mawaziri/Wizara, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali kuu za Wilaya na taasisi nyingi za Serikali kwenye mtandao kwani namba nyingi zilizopo zilishafungiwa au zimebadilika.

Naamini kutokuwa na namba za simu sahihi za Idara/mashirika ya Serikali, huchangia Vijana wengi kuishia kuandika malalamiko kwenye mitandao, badala ya kuwasiliana moja kwa moja na ofisi husika
Yaani sio simu tu hats kupata huduma ni shida unataka kupata meelezo ya dkk 2 unaweza subilishwa for 2 hrs ..bodo iseee bongo hapana tunamatatizo sio bite..
 
Ni kweli, mfano hospital ya mkoa wa Morogoro simu ya landline hazipatikani.
2. Tume ya madini simu hazipatikani
3. Tamisemi Dodoma simu hazipatikani.

Sijui ni nani anahusika ku huisha namba za Ofisi za Serikali kama za Mawaziri/Wizara, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali kuu za Wilaya na taasisi nyingi za Serikali kwenye mtandao kwani namba nyingi zilizopo zilishafungiwa au zimebadilika.

Naamini kutokuwa na namba za simu sahihi za Idara/mashirika ya Serikali, huchangia Vijana wengi kuishia kuandika malalamiko kwenye mitandao, badala ya kuwasiliana moja kwa moja na ofisi husika.
 
Wote ndo hao hao.
Sijui namba za simu wameweka za nini.

Ni kweli wote wako hovyo kabisa! Au jitu linapokea alafu issue ya kueleweka kutatua tu kwa maelezo lenyewe ni “njoo ofisini” wanakera sana hawa watu!
 
Back
Top Bottom