Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Siyo malalamiko ya mtu mmoja au wawili. Namba za hao Applicants Support hazipokelewi. Leo ni siku ya tatu hawapokei simu zetu

Namba ipo busy na baadae ikibahatisha kuita haipokelewi. Tunafahamu kwamba simu ya mezani ukihamisha kile kikamba uweke pembeni, simu itakuwa busy mfululizo.

Mamlaka zinazohusika Tafadhali ingilieni kati hizo hujuma wanazofanya hawa jamaa.

Namba zenyewe ni: 0744820401, 0769716392, 0737904688, 0768122230, 0733333531,
 
Shukuru wewe umepata hiyo password wenzako hawajapokea hata hiyo kitu

Kwenye point yako... fanya hivi angalia sana password zao wanapenda kuchanganyia herufi hizi na namba hii (0, O, o, l, I)

kwahiyo cha kufanya hapo jaribu huku ukizimark pahala itakayokubali (lazima mojawapo ikubali) ndo unaitunza

Kuwa makini sana hapo kwenye small letter "L" na capital letter "i" kadhalika kwenye zero "0" na capital letter "O"
 
sijapata notification kwenye email, nifanyeje
Kama una uhakika email uliyoweka ipo sawa na uliona ujumbe kuwa username na password zimetuma, jaribu kuangalia SPAM FOLDER kwenye email.
 
Password niliyotumiwa kwa email imegoma. Kila nikiiweka naambiwa incorrect username or password wakati nimeikopi kwa ufasaha
Una uhakika email address yako ambayo ndo username unaiingiza sawasawa? Username usiwekd herufi kubwa hatamoja, ni ndogo tuu
 
wakuu afu kwenye kipengele cha wilaya,tarafa,kijiji na jimbo mbona inasema not found... msaada mwenye kujua zaidi
 
wakuu afu kwenye kipengele cha wilaya,tarafa,kijiji na jimbo mbona inasema not found... msaada mwenye kujua zaidi

Uwe unajaribu kusubiri kwa dakika kadhaa,
Ukiona inachelewa jaribu kubadilisha wilaya au mkoa mwingine , ikikubali unarudia tena mkoa wako then itakubali.
 
Password niliyotumiwa kwa email imegoma. Kila nikiiweka naambiwa incorrect username or password wakati nimeikopi kwa ufasaha
Fanya hivi [emoji116][emoji116]
Hapo walipotoa maelezo ya namba ya maombi, barua pepe na nenosiri unaikopy hio nenosiri waliokutumia kwa staili hii [emoji116] then unaenda kuipaste pale inakubali..
Screenshot_20220511-235414.jpg
Editor_2_20220512000211.jpg
 
Naona hawa watu ni washenzi sana, yaani wana usumbufu mwingi sana kwa watu... aliyetengeneza mfumo wa kutumia maombi anasumbua watu bure....au ndivyo serikali imeamua
 
Back
Top Bottom