Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Password niliyotumiwa kwa email imegoma. Kila nikiiweka naambiwa incorrect username or password wakati nimeikopi kwa ufasahaUliza humu! Utajibiwa
Kama una uhakika email uliyoweka ipo sawa na uliona ujumbe kuwa username na password zimetuma, jaribu kuangalia SPAM FOLDER kwenye email.sijapata notification kwenye email, nifanyeje
Una uhakika email address yako ambayo ndo username unaiingiza sawasawa? Username usiwekd herufi kubwa hatamoja, ni ndogo tuuPassword niliyotumiwa kwa email imegoma. Kila nikiiweka naambiwa incorrect username or password wakati nimeikopi kwa ufasaha
wakuu afu kwenye kipengele cha wilaya,tarafa,kijiji na jimbo mbona inasema not found... msaada mwenye kujua zaidi
Badilisha searching engine kama unatumia chrome jaribu Microsoft edgewakuu afu kwenye kipengele cha wilaya,tarafa,kijiji na jimbo mbona inasema not found... msaada mwenye kujua zaidi
Fanya hivi [emoji116][emoji116]Password niliyotumiwa kwa email imegoma. Kila nikiiweka naambiwa incorrect username or password wakati nimeikopi kwa ufasaha
Ahsante mkuu ila imekataaFanya hivi [emoji116][emoji116]
Hapo walipotoa maelezo ya namba ya maombi, barua pepe na nenosiri unaikopy hio nenosiri waliokutumia kwa staili hii [emoji116] then unaenda kuipaste pale inakubali..View attachment 2221101View attachment 2221102
Duhhhhh!!Ahsante mkuu ila imekataa