Namba zinakataa: Hitler alipata wapi wayahudi milioni sita?


Mkuu,

Judaism ni dini hilo halina ubishi na mtu mwingine yoyote akiaingia kwenye dini hiyo anakuwa ni Myahudi kwa maana ya imani yake

Waisraeli ni race ambayo iliwahi kuwa na taifa lake,hiyo iko wazi kabisa,lakini miongoni mwa hao Waisraeli wamo Wayahudi ambao ni watoto wa Yuda,kwa maana hiyo Waisraeli wote wakiwemo na Wayahudi [watoto wa Yuda] ni Waisraeli kwa maana kuwa ni watoto wa Jacob ambae alikuja kubadilishwa jina na Mungu na kuitwa Israeli

Lakini pia kuliwahi kuwepo na nchi iliyoitwa Yuda [Judea] ambayo ni nchi iliyokuwa inaundwa na baadhi ya watoto wa Israeli [Jacob] ambao wametokana na watoto wawili wa Jacob ambao ni Benjamin na Yuda

Kwa maana hiyo ukisema Wayahudi sio race unakuwa hauko sahihi,lakini ukikana kuwa Uyahudi sio dini unakuwa haupo sahihi pia,vyote viwili ni sawa!
 
Punguza ghadhab, hilo swali lako sijaliona, ntalipitia na ntakujibu, si unajuwa hapa ni Bahari Kubwa!

Ntarudi, sipo kwenye laptop, nipo kwenye simu, usiwe na kiherehere.

Simu gani haina hata notifications?

Hicho kiherehere kitajulikana tu ni nani anacho hapa hapa!
 

Mkuu uko sawa kabisa ...

Na maada ya Waisraeli kuachana na desturi ya Kimungu na kufuata desturi za mataifa na yale makabila mawili kubakia na desturi za Kimungu ndipo walipoamua kuiita imani hiyo Judaism kurefer kabila lililokuwa kubwa na lenye nguvu la Yuda kwa maana hata nchi yao ilipewa jina hilo pia

Sasa leo miaka zaidi ya 2000 wanakuja watu kukana hili,hii ni hatari sana!
 

Inasikitisha sana mkuu, halafu hao wanaokana wanasema nyie hamna elimu, mtu unaleta hadi link, lakini wale wakanaji wanakuja na maneno matupu tu, halafu wanakwambia soma kuhusu Ashkenazi Jews badala ya kuanza kuelezea, sijui hawajui maana ya forum!? ingekuwa ni hivyo si tungekuwa tunaambiana tu nenda kasome, ka search halafu usome halafu utachambua mwenyewe huko huko...
 

Binadamu akiwa brainwashed ni hatari sana .....

Jamaa anasema "google siku hizi imekusaidia sana tatizo lako husomi' wakati hapo hapo alipoquote nimemuwekea link inayojibu anayouliza,sijui haoni au anajibu bila hata kusoma?

Hii ni hatari kuliko ...

Wanaona wakikubali uwepo wa taifa hilo itawabana kwenye wanachotetea!
 

Halafu cha kushangaza zaidi, anasema google inakusaidia... halafu hapo hapo anakwambia katafute kuhusiana na Ashkenazi Jews, sasa sijui uende library ya mkoa!? ukaulizie kitabu cha namna hiyo... au kuhusiana na hicho kitu!?
 
Halafu cha kushangaza zaidi, anasema google inakusaidia... halafu hapo hapo anakwambia katafute kuhusiana na Ashkenazi Jews, sasa sijui uende library ya mkoa!? ukaulizie kitabu cha namna hiyo... au kuhusiana na hicho kitu!?

Mkuu hii inatia hadi uvivu aisee .....

Ulifanikiwa kuzipata zile video mkuu?
 
Kwa ushahidi gani?

Hivi unajua Waarabu wanajiita watoto wa nani?

Ushahidi wa Lugha wanayoongea, (Kiarabu/Kiyahudi) ni ushahidi ya kwamba hao wote ni watu wa kutoka sehemu moja!
 
Mkuu hii inatia hadi uvivu aisee .....

Ulifanikiwa kuzipata zile video mkuu?

Mkuu bado ningekuwa nimekwisha zitazama ningerudi, hii Zantel inanilostisha sana, nina mpango wa kuchukua universal Modem... Tigo na wenyewe nimeona wana kifurushi unlimited kwa day 900 MB kwa sh 999, bado zipo pending zile, kuna siku nili download video moja kifurushi changu cha mwezi kikaisha na hayakuwa malengo kiishe mapema...

Ila nitajitahidi maana pending zinaongezeka kila siku...
 
Mkuu unajichosha tu ....

Airtel wana kifurushi cha GB 1.2 kwa sh 800 kwa siku moja na network ni ya uhakika,achana na hao zantel mkuu watakulostisha

Piga *148*88# kisha fuata maelekezo!
 
Mkuu unajichosha tu ....

Airtel wana kifurushi cha GB 1.2 kwa sh 800 kwa siku moja na network ni ya uhakika,achana na hao zantel mkuu watakulostisha

Piga *148*88# kisha fuata maelekezo!

Nashukuru sana mkuu, maana nanunua GB 2, kwa mwezi kwa Tshs 15,000/=, kweli hiyo ni nafuu zaidi, ngojea nikanunue line ya airtel niweke kwenye simu nitumie wireless nikifukuzia universal modem... kwa nafuu hiyo ya airtel naweza nikawa napakua vitu vingi sana...
 

Hahahahahaaaa ......

Mkuu airtel sh 15000 ni GB 10 kwa mwezi .......!!
 
Kwanza swali langu moja hujajibu .....

Halafu origin yao ni nini?

Swali la kuhusu Waarabu wanavyojiita? Hilo sijui, kwa maana Waarabu au Uarabu ni neno pana sana labda ungenisaidia!

Unaposema kuhusu origin yao embu fafanua swali lako kidogo kama ukiweza, kwa maana sijakuelwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…