Namba zinakataa: Hitler alipata wapi wayahudi milioni sita?

Mkuu mauji ya zamani yalikuwa ya kipindi kirefu tena ya namna nyingi , si ajabu idadi hiyo ikapitiliza.
 

Sikudhani kuwa hata hili hulijui ...

Unakataa kuwa nchi ya Israel haikutengana na kuundwa kwa mataifa mawili ambayo ni Judea na Israel?

Dini ya kiyahudi kuakisi jina la nchi hakuifanyi nchi hiyo kutokuwepo

Kimsingi na nimeshasema hapo juu kuwa Yuda ni nchi,ni dini na ni kabila pia,kipi huelewi hapo?

Wasukuma kuwepo mkoa wa shinyanga,mwanza na Tabora hakufanyi Yuda kama nchi kutokuwepo,hizi jamii mbili tofauti zina asili na sababu tofauti za kuwa kama zilivyo

Kama jina la kabila la watu wanaoishi Mwanza lingetokana na jina la nchi ya Tanzania hilo lisingeondoa uwepo wa kabila hilo la jina la kabila lake,pia dini ya watu wa kabila hili linetokana na jina la kabila hilo au la nchi hiyo lisingebadilisha ukweli wake kuwa jina la nchi,dini na kabila vinafanana

Kufanana kwa jina la kabila,dini na nchi ya Judea vimekuchanganya hadi unasikitisha!
 
Wickama

Kimsingi sipo comfortable kabisa na hii dhana ya mauwaji ya kimbari ya Hitler kuwahuyusu so called Jews

Kuna watu kibao sana wameshaonesha mashaka na hii kitu na kwasababu hii kitu ndio msingi wa kuanzishwa nchi inayoitwa Israel basi hata uwepo na uhalali wa nchi hii nayo unatia mashaka

Kwanza kuna watu wanadai kuwa hawa sio Wayahudi na wanadai wana ushahidi wa D.N.A,kama hawa watu wako sahihi hii ina maana hao jamaa walioko huko Israeli sio kwao na wanapaswa waondoke na wanaostahili kuwepo huko waende kuishi huko

Nilichojifunza kutokana na historia ni kwamba wakubwa wa dunia wanapotaka kuanzisha jambo au movement fulani basi njia yao wanayotumia kutafuta uhalali wa kuianzisha ni vurughu au vita na mauwaji,mbinu hii naona kama ndio iliyotumika kulianzisha hili taifa na kwasababu hiyo linatia shaka sana!
 
Last edited by a moderator:
wayahudi walidanganya ili kupata sympathy UN

mostly true manake haya mambo yana contraversial sana hata rwanda inasemekana watusi walikuwa chini ya laki tano, na 1994 ni kama nusu yao tu waliuawa....lakini leo tunaambiwa waliouawa ni watu zaidi ya laki nane wengi wao wakiwa watusi. na ukisema rpf walihusika kuua wahutu...kagame and Co wanakuja juu....maana unachoma yale waliyoficha.
 

Mwanzo nilikuwa sipendi kusoma comments zako, nilikuwa nakuona wewe mshari sana.
Lakini toka nianze kufuatilia arguements zako kwenye topic mbali mbali nimetokea kukubari na napenda sana soma comments zako.
Nakupa big up bibi. (hope utakuwa kama bibi yangu kwa jinsi unavyo jitambulisha).
 
Kwahiyo serikali Ina Dini? Dini gani hiyo? Dah mambo mengine naona kama kujitoa fahamu. Halafu wayahudi sio dini ujue?!

ni kwamba uyahudi ni imani sio race,ama taifa.
wala hakuna kabila la kiyahudi
 
is Judaism a religion or a race?

I find some difficulty in understanding Judaism. If it is a religion, then why do some Jewish ethnicities exist ? Or why do these terms exist in the first place? And why anyone who attacks Judaism is called upon an antisemitic when semitism is a race? Also how come one can be a jew and an atheist at the same time? Or jew and homosexual?

If it is a race, then why do jews have a holy book? Why do jews base their claim to the land of Palestine on religious reasons? That God gave the Jews the land of Palestine?

If it's both, religion and race, does that then make any convert to Judaism embrace a new race? And subsequently make his offsprings ethnically and religiously jews ?

I quite don't get it
 
No, ni kabila!

hakuna lugha ya kiyahudi,hata ile habari ya makabila 12 ni story tu
eneo lote walikua wakiongea ki aramac na baadae sana kihebrew,hakuna sehemu yeyote itakayokuonyesha kuwahi kuwepo kwa lugha ya kiyahudi,kibenjamin,ki ephrahim etc
 
Mmh hizo takwimu za vifo vya watu katika hayo mataifa hata mimi sina imani nazo zitakuwa za kughushi..lakini nimependa watu hapa walivyobishana kwa hoja na kueleweshana.huu ndio ukubwa sasa..
 

Unaposikia kabila wewe unaelewa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…