Namba zinakataa: Hitler alipata wapi wayahudi milioni sita?

So how many Jews were killed?

And how many would it take for it to be a Holocaust?

Granted, I am by far not one of those overenthusiast bible thumping zealots who proclaim that the Jews are god's chosen people (I don't even believe in the existence of god) but I am by far not a Neo-Nazi embracing Holocaust denier either.

So the question remains, how many Jews were killed?

And how many would it take for it to be a Holocaust?

If as many Jews died as the Rwandese died in the Rwandese genocide, would that still be a lamentable Holocaust?

Doesn't the Quran say that if one person is killed it is as if an entire people is killed?

Quran 5:23

"If anyone slays a person, it would be as if he slew the whole people: and if any
one saved a life, it would be as if he saved the life of the whole people.
 
Nini tofauti kati ya uyahudi na uislaeli?

baada ya wana wa jacob ama uzao kutoka misri,waliteka baadhi ya maeneo ya caanan kisha joshua akayagawa miongoni mwa koo zile 12 za wana wa jacob.
saul akawa mfalme wa kwanza lakini ukoo ama kama wasemavyo kabila la yuda hawakumtii,pakawa na mtafaruku,baadae tena hawa wana wa israel walipigana vita na wana wa israel wa ukoo wa benjamin,ambao baada ya kupigwa walijiunga na wale wa ukoo wa yuda kuunda utawala wa yuda tofauti na ule wa israel uliokua na makabila 10.
baada ya sauli kufa,akatawala david,huyu alifanikiwa kuziunganisha tawala mbili yaani israel kingdom na judea kingdom na kuwa na United kingdom of israel and judeh.
baada ya daud akafata solomon,nchi ikiwa moja,then solomon akafa,mtawala aliefuata mtoto wake jerohobam alikua hakubaliki,ukoo wa yuda n benjamin wakajitenga tena na zikawepo tawala 2,israel yenye koo 10 na yuda ya ukoo wa yuda na benjamin.
israel wakiwa mungu wao akiitwa El.
yudah wakitumia jina la YHWEH.
baadae utawala wa israel ulivamiwa na kutekwa na waasyria na yale makabila kumi yakachukuliwa utumwani na kupotea.
yanaitwa makabila10 ya wana wa israel yaliyopotea.

baadae sana tenda utawala wa yuda ukatekwa na wababel,hao sasa wayahudi baadhi wakapelekwa utumwani babel.
hawa ndo wayahudi na waliporudi toka babel ndo wakaja na maandiko ya dini yao ya kiyahudi kama tunavyoijua leo.
 
Uisraeli ni utaifa, ukiwa raia wa Israeli unakuwa MuIsraeli.

Uyahudi ni imani, ukiwa unaamini katika dini ya kiyahudi ni myahudi.

Unaweza kuwa muisraeli lakini si myahudi, myahudi lakini si muisraeli au myahudi muIsraeli.

Hata wewe au mmatumbi yeyote.

Ndiyo maana kuna WaIsraeli waislamu (si wayahudi) pia kuna wayahudi wasio waIsraeli (kwa mfano Marekani na Ethiopia kuna wayahudi kibao wasio waIsraeli)
 
Kwa hapo upo sawa kabisa, Hata kipindi Yesu anakuja hakukuwa na nchi ya Israel... kulikuwa kuna nchi ya Yuda (Uyahudi) kwa hiyo hawa Wayahudi ni Wayuda, hayo makabila 10 yaliyopotea hayajulikani yapo wapi...
 
mama unaelewa maana ya kabila in this context, lakini!?

Wewe kijana hakuna cha context wala situation. Kabila ni kabila full stop.

Mzaramo kwenye context anakuwa Myahudi?

What a reasoning.

Sasa sikiliza kwa makini kijana, Yehud ni mmoja kati ya watoto 12 wa Jacob ambae pia alikuwa anaitwa Israel ambayo maana yake Kingereza ni May God Prevail or perseveres haina tofauti sana na In Sha Allah ya Kiarabu. (God willing).

Hicho ni kizazi cha kutokea Abraham ambae baada ya Jacob na kupewa hilo jina Israel na Mwenyeezi Mungu, kikajulikana ni kizazi cha Israel. Sasa huyo Yehud ni mmoja wa watoto wa Jacob na wafuasi wake ndiyo wakajiita Wayahudi kama vile leo hii Wafuasi wa Yesu wanajiita Wakristo wakati yeye mwenyewe hakuwaambia kuweni Wakristo.

Sasa kama utachukulia kuwa Wayahudi ni kabila basi wale walioingia kwenye Ukristo au Uislam kutoka kizazi cha Yehud ina maana hawana kabila? kwa kuwa Uislam na Ukristo si kabila. Fikiri.

Leo hii mchagga akitoka kwenye Ukristo akaingia Uislam anakuwa si Mchagga tena? Fikiri.

Sasa Wayahudi ukitoka kwenye u "Jew" ukawa Muislam ina maana umetoka kwenye u Jew lakini kabila yako inabaki pale pale.

Najuwa kwanini Wakristo wengi wanakazania kuwa hiyo ni moja kati ya makabila 12 ya Israel kwa sababu Wayahudi wana akili sana na wamewadanganya Wakristo katika kuchakachuwa kwao kuwa Wakristo hawana kiti Mbinguni bila kupitia viti hivyo 12 vya makabila ya Israel. sasa Mkristo leo akikubali kuwa Myahudi ni dini, si kisha ondoa kiti kimoja hapo! Fikiri.

Kijana hakuna awajuwae Wayahudi leo hii zaidi Mwaarabu na sisi tuna ukaribu sana na Waarabu (Usichanganye Uarabu na Uislam), hao wanajuana sana na mpaka leo hii kuna Waarabu Waislam kama ujuavyo pia kuna Waarabu Wakristo na kuna Waarabu Wayahudi kama nilivyokuwekea picha hapo juu, kuna Waafrika pia Wayahudi, kuna Wazungu, ambao hawana kabisa asili ya zilipoanzia hizi dini tatu, pia Wayahudi.

Sasa kwa faida yako tu, Wayahudi wa Ethiopia ndiyo Wayahudi wa kale zaidi kuliko wa popote duniani wanadai kuwa Yehud ni wao na alianzia kwao hapa Africa na wa kizazi chao. Fikiri.

Yehud iliyobaki ni dini "Jews" kwa Kiingereza.
 
Uisraeli ni utaifa, ukiwa raia wa Israeli unakuwa MuIsraeli.

Uyahudi ni imani, ukiwa unaamini katika dini ya kiyahudi ni myahudi.

Unaweza kuwa muisraeli lakini si myahudi, myahudi lakini si muisraeli au myahudi muIsraeli.

Hata wewe au mmatumbi yeyote.

Ndiyo maana kuna WaIsraeli waislamu (si wayahudi) pia kuna wayahudi wasio waIsraeli (kwa mfano Marekani na Ethiopia kuna wayahudi kibao wasio waIsraeli)

Wayahudi walitokana na kabila la Yuda, na kulikuwa na nchi ya Yuda ambayo ilikuwa inaundwa na makabila mawili kabila la Yuda na Benjamini... Lakini hao wote walikuwa watoto wa Israel... kwa hiyo Wayahudi ni Waisrael...
 
Ukisema Israel kwa dunia ya leo, unaeleweka kwamba unaongelea taifa la Israel, lilioanzishwa 1948.

Hiyo habari ya vizazi vya Abrahamu iko ki historia zaidi, kwani hakuna mwenye rekodi za vizazi atakayeweza ku trace kwenda back to the twelve tribes of the original Israel.

And by the way, Judea was not the entirety of the twelve tribes, it was only two tribes.

Kwa dunia ya leo Uyahudi ni imani zaidi ya ethnicity. Ndiyo maana unaweza kukuta kuna Wayahudi mpaka Wajapani.

Hata mimi leo nikifuata taratibu za kuwa Myahudi naweza kuwa myahudi, ingawa ni Msukuma kwa ethnicity.
 
Wewe kijana hakuna cha context wala situation. Kabila ni kabila full stop.

Mzaramo kwenye context anakuwa Myahudi?

What a reasoning.

Sasa sikiliza kwa makini kijana, Yehud ni mmoja kati ya watoto 12 wa Jacob ambae pia alikuwa anaitwa Israel ambayo maana yake Kingereza ni May God Prevail or perseveres haina tofauti sana na In Sha Allah ya Kiarabu. (God willing).

Hicho ni kizazi cha kutokea Abraham ambae baada ya Jacob na kupewa hilo jina Israel na Mwenyeezi Mungu, kikajulikana ni kizazi cha Israel. Sasa huyo Yehud ni mmoja wa watoto wa Jacob na wafuasi wake ndiyo wakajiita Wayahudi kama vile leo hii Wafuasi wa Yesu wanajiita Wakristo wakati yeye mwenyewe hakuwaambia kuweni Wakristo.

Sasa kama utachukulia kuwa Wayahudi ni kabila basi wale walioingia kwenye Ukristo au Uislam kutoka kizazi cha Yehud ina maana hawana kabila? kwa kuwa Uislam na Ukristo si kabila. Fikiri.

Leo hii mchagga akitoka kwenye Ukristo akaingi Uislam anakuwa si Mchagga tena? Fikiri.

Sasa Wayahudi ukitoka kwenye u "Jew" ukawa Muislam ina maana umetoka kwenye u Jew lakini kabila yako inabaki pale pale.

Najuwa kwani Wakristo wengi wanakazania kuwa hiyo ni moja kati ya makabila 12 ya Israel kwa sababu Wayahudi wna akili sana na wamewadanganya Wakristo katika kuchakachuwa kwao kuwa Wakristo hawana kiti Mbinguni bila kupitia viti hivyo 12 vya makabila ya Israel. sasa Mkristo leo akikubali kuwa Myahudi ni dini, si kisha ondoa kiti kimoja hapo! Fikiri.

Kijana hakuna awajuwae Wayahudi leo hii zaidi Mwaarabu na sisi tuna ukaribu sana na Waarabu (Usichanganye Uarabu na Uislam), hao wanajuana sana na mpaka leo hii kuna Waarabu Waislam kama ujuavyo pia kuna Waarabu Wakristo na kuna Waarabu Wayahudi kama nilivyokuwekea picha hapo juu, kuna Waafrika pia Wayahudi, kuna Wazungu, ambao hawana kabisa asili ya zilipoanzia hizi dini tatu, pia Wayahudi.

Sasa kwa faida yako tu, Wayahudi wa Ethiopia ndiyo Wayahudi wa kale zaidi kuliko wa popote duniani wanadai kuwa Yehud ni wao na alianzia kwao hapa Africa na wa kizazi chao. Fikiri.

Yehud iliyobaki ni dini "Jews" kwa Kiingereza.

Baadhi ya comments (kwenye blue) zako zinaenda kinyume na signature yako ya JF. Fikiri..!!
 
Siyo mantiki, huo ndiyo ukweli. Ukisema Wayahudi wana taifa ni kama kusema Wakristo wana taifa lao, au Waislaam wana taifa lao au wapagani wana taifa lao.

Leo Tanzania wanasema Serikali haina dini, Jee ina maana sisi ni taifa la kipagani? La, mimi si mpagani, sijui wewe?

FaizaFoxy nakusalimia mkuu. ..nimekumiss kinyama
 
Baadhi ya comments (kwenye blue) zako zinaenda kinyume na signature yako ya JF. Fikiri..!!

Blue yako umeiweka out of context, rekebisha.

Signature yangu Papa anawakumbusha, msilete tashtiti.
 
Hivi karibuni kumeibuka maswali mengi juu ya idadi ya Wayahudi waliopoteza chini ya Adolf Hitler. Utata huu unachangiwa na report za sensa za idadi ya Wayahudi duniani kabla na baada ya vita kuu ya Pili pamoja na report za Red Cross juu ya waliopoteza maisha wakiwa chini ya Wajerumani wakati wa vita. Idadi ya watu duniani ya kupitia World Almanac katika kipindi husika inasomeka kama ifuatavyo;

World Almanac 1933

jews1933.jpg

World Almanac 1948

jews1948.jpg

source: Before and after the "Holocaust": Jewish population numbers in 1933 and 1948

Hii ripoti haionyeshi kama wayahudi walipungua baada ya WW2. In fact wameongezeka. Yaani

15, 753, 638 mwaka 1948. Yaani Baada ya vita
15, 315, 359 mwaka 1933. Yaani Kabla ya Vita

Kwa upande mwingine, Ripoti ya Red Cross inataja watu waliopoteza maisha chini ya waNazi hawazidi laki tatu Exposing the Holocaust™ Hoax Archive - A HolyHoax Museum: Fun Facts - The Holohoax for Dummies

Utata huu wa namba umeimarisha sana Hoja za wale wanaohisi mchezo mchafu katika idadi ya waliouliwa. kuwa haingewezekana Kina Hitler Kuua wayahudi Milioni sita kwa vile hata ulaya iliyoikaliwa na Nazis haikuwa na idadi hiyo ya Wayahudi Before and after the "Holocaust": Jewish population numbers in 1933 and 1948 Pia hakuna pengo la Milioni 6 kwenye report za hizo Sensa za World Almanac? Mateso kwa wayahudi na wengineo ni jambo lenye umuhimu kihistoria. Lakini kwa hii vurumai Swali linabaki, UKWELI UKO WAPI? Yabidi kujiuliza; ADOLF HITLER ALITOA WAPI WAYAHUDI MILIONI 6? Mbona hesabu zinakataa?

Changia mawazo yako

Walichofanya wayahudi ni ku exagrate idadi ya wayahudi waliouliwa ili kupata smperthy ...na daima iendelee kuwafanya wapinzani wao wajione wakosefu
ni mbinu pia iliyotumiwa ku exagratte idadi ya wa rwanda waliouliwa ionekane walikuwa wa jamii moja wakati ...jamii nyingine ya wannyarwanda hadi sasa wameendelea kuuliwa
 
baada ya wana wa jacob ama uzao kutoka misri,waliteka baadhi ya maeneo ya caanan kisha joshua akayagawa miongoni mwa koo zile 12 za wana wa jacob.
saul akawa mfalme wa kwanza lakini ukoo ama kama wasemavyo kabila la yuda hawakumtii,pakawa na mtafaruku,baadae tena hawa wana wa israel walipigana vita na wana wa israel wa ukoo wa benjamin,ambao baada ya kupigwa walijiunga na wale wa ukoo wa yuda kuunda utawala wa yuda tofauti na ule wa israel uliokua na makabila 10.
baada ya sauli kufa,akatawala david,huyu alifanikiwa kuziunganisha tawala mbili yaani israel kingdom na judea kingdom na kuwa na United kingdom of israel and judeh.
baada ya daud akafata solomon,nchi ikiwa moja,then solomon akafa,mtawala aliefuata mtoto wake jerohobam alikua hakubaliki,ukoo wa yuda n benjamin wakajitenga tena na zikawepo tawala 2,israel yenye koo 10 na yuda ya ukoo wa yuda na benjamin.
israel wakiwa mungu wao akiitwa El.
yudah wakitumia jina la YHWEH.
baadae utawala wa israel ulivamiwa na kutekwa na waasyria na yale makabila kumi yakachukuliwa utumwani na kupotea.
yanaitwa makabila10 ya wana wa israel yaliyopotea.

baadae sana tenda utawala wa yuda ukatekwa na wababel,hao sasa wayahudi baadhi wakapelekwa utumwani babel.
hawa ndo wayahudi na waliporudi toka babel ndo wakaja na maandiko ya dini yao ya kiyahudi kama tunavyoijua leo.

Nimependa ufafanuzi wako, umeeleweka mkuu
 
Mkuu shukran kwa taarifa nzuri.

Cha kuzingatia hapa ni kuwa idadi ya wayahudi kabla na baada ya vita kwenye ripoti ya World Almanac (1933 & 1948) zimekisiwa na wayahudi wenyewe, yaani American Jewish Committee (refer posting yangu #1 )

Kwenye hiyo report utaona wametajwa kuwa;

1933 - European jews (9,494,363)
1948 - European Jews (9,372,666)

Waliopungua ni 121,697

Wakati huo kulikuwa pia na maelezo mengi kuwa wayahudi waliuwawa kwenye nyumba za GESI ikiwamo cyanide. Nimeshapost findings za wanasayansi ambao wameshindwa kupata traces za Cyanide kwenye majengo yaliyoelezwa kuhusika na tukio.

Mkuu haya mambo mengine msiwe mnakuwa hivo; kutoka 1933 to 1948 , 15 years difference bado unapiga hesabu kirahisi hivo kama kwamba hakukuwepo kuzaana na kufa??? Nilitegemea hiyo ya 9.49M ilishuka ghafla kwa sababu ya mauaji then ikapanda au kubalance na kuzaliana....miaka kumi na tano ni mingi
 
Wewe kijana hakuna cha context wala situation. Kabila ni kabila full stop.

Mzaramo kwenye context anakuwa Myahudi?

What a reasoning.

Sasa sikiliza kwa makini kijana, Yehud ni mmoja kati ya watoto 12 wa Jacob ambae pia alikuwa anaitwa Israel ambayo maana yake Kingereza ni May God Prevail or perseveres haina tofauti sana na In Sha Allah ya Kiarabu. (God willing).

Hicho ni kizazi cha kutokea Abraham ambae baada ya Jacob na kupewa hilo jina Israel na Mwenyeezi Mungu, kikajulikana ni kizazi cha Israel. Sasa huyo Yehud ni mmoja wa watoto wa Jacob na wafuasi wake ndiyo wakajiita Wayahudi kama vile leo hii Wafuasi wa Yesu wanajiita Wakristo wakati yeye mwenyewe hakuwaambia kuweni Wakristo.

Sasa kama utachukulia kuwa Wayahudi ni kabila basi wale walioingia kwenye Ukristo au Uislam kutoka kizazi cha Yehud ina maana hawana kabila? kwa kuwa Uislam na Ukristo si kabila. Fikiri.

Leo hii mchagga akitoka kwenye Ukristo akaingi Uislam anakuwa si Mchagga tena? Fikiri.

Sasa Wayahudi ukitoka kwenye u "Jew" ukawa Muislam ina maana umetoka kwenye u Jew lakini kabila yako inabaki pale pale.

Najuwa kwani Wakristo wengi wanakazania kuwa hiyo ni moja kati ya makabila 12 ya Israel kwa sababu Wayahudi wna akili sana na wamewadanganya Wakristo katika kuchakachuwa kwao kuwa Wakristo hawana kiti Mbinguni bila kupitia viti hivyo 12 vya makabila ya Israel. sasa Mkristo leo akikubali kuwa Myahudi ni dini, si kisha ondoa kiti kimoja hapo! Fikiri.

Kijana hakuna awajuwae Wayahudi leo hii zaidi Mwaarabu na sisi tuna ukaribu sana na Waarabu (Usichanganye Uarabu na Uislam), hao wanajuana sana na mpaka leo hii kuna Waarabu Waislam kama ujuavyo pia kuna Waarabu Wakristo na kuna Waarabu Wayahudi kama nilivyokuwekea picha hapo juu, kuna Waafrika pia Wayahudi, kuna Wazungu, ambao hawana kabisa asili ya zilipoanzia hizi dini tatu, pia Wayahudi.

Sasa kwa faida yako tu, Wayahudi wa Ethiopia ndiyo Wayahudi wa kale zaidi kuliko wa popote duniani wanadai kuwa Yehud ni wao na alianzia kwao hapa Africa na wa kizazi chao. Fikiri.

Yehud iliyobaki ni dini "Jews" kwa Kiingereza.

Unajitahidi kukariri Tu, vinavyohitaji tafakari kupambanua uko zeroo Kabisa. Mkristo maana yake ni mfuasi/mwanafunzi wa Kristo, kwa kuwa huwezi kutafakari hujui kwamba agizo la Yesu Kristo kwa wanafunzi/mitume wake kwenda ulimwenguni kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi ili maanisha wafanywe "Wakristo"
Hili swala kupitia viti 12 vya makabila ya Israel ni chuki binafsi baada ya kujua kwamba kwa Mujibu wa maandiko waarabu hawawezi kutoa mtume wa Mungu wa kweli na hakuna namna ambapo unaweza kuunganisha kizazi cha Ishmael kufikia uzao wa marehemu Muhammad.
Chuki ya kughafikirika huko waihamishia kwa wakristo bila sababu yoyote.
Mjadala ni wazi hauhusiani na Wakristo kuhusiana na Waisrael lakini chuki imekuongoza kutapika uliyoyatapika.
Mumeingizwa kingi na muddy endeleeni kumezeshwa mkiogopa dhambi ya kufikiri.
 
Wewe kijana hakuna cha context wala situation. Kabila ni kabila full stop.

Mzaramo kwenye context anakuwa Myahudi?

What a reasoning.

Sasa sikiliza kwa makini kijana, Yehud ni mmoja kati ya watoto 12 wa Jacob ambae pia alikuwa anaitwa Israel ambayo maana yake Kingereza ni May God Prevail or perseveres haina tofauti sana na In Sha Allah ya Kiarabu. (God willing).

Hicho ni kizazi cha kutokea Abraham ambae baada ya Jacob na kupewa hilo jina Israel na Mwenyeezi Mungu, kikajulikana ni kizazi cha Israel. Sasa huyo Yehud ni mmoja wa watoto wa Jacob na wafuasi wake ndiyo wakajiita Wayahudi kama vile leo hii Wafuasi wa Yesu wanajiita Wakristo wakati yeye mwenyewe hakuwaambia kuweni Wakristo.

Sasa kama utachukulia kuwa Wayahudi ni kabila basi wale walioingia kwenye Ukristo au Uislam kutoka kizazi cha Yehud ina maana hawana kabila? kwa kuwa Uislam na Ukristo si kabila. Fikiri.

Leo hii mchagga akitoka kwenye Ukristo akaingia Uislam anakuwa si Mchagga tena? Fikiri.

Sasa Wayahudi ukitoka kwenye u "Jew" ukawa Muislam ina maana umetoka kwenye u Jew lakini kabila yako inabaki pale pale.

Najuwa kwanini Wakristo wengi wanakazania kuwa hiyo ni moja kati ya makabila 12 ya Israel kwa sababu Wayahudi wana akili sana na wamewadanganya Wakristo katika kuchakachuwa kwao kuwa Wakristo hawana kiti Mbinguni bila kupitia viti hivyo 12 vya makabila ya Israel. sasa Mkristo leo akikubali kuwa Myahudi ni dini, si kisha ondoa kiti kimoja hapo! Fikiri.

Kijana hakuna awajuwae Wayahudi leo hii zaidi Mwaarabu na sisi tuna ukaribu sana na Waarabu (Usichanganye Uarabu na Uislam), hao wanajuana sana na mpaka leo hii kuna Waarabu Waislam kama ujuavyo pia kuna Waarabu Wakristo na kuna Waarabu Wayahudi kama nilivyokuwekea picha hapo juu, kuna Waafrika pia Wayahudi, kuna Wazungu, ambao hawana kabisa asili ya zilipoanzia hizi dini tatu, pia Wayahudi.

Sasa kwa faida yako tu, Wayahudi wa Ethiopia ndiyo Wayahudi wa kale zaidi kuliko wa popote duniani wanadai kuwa Yehud ni wao na alianzia kwao hapa Africa na wa kizazi chao. Fikiri.

Yehud iliyobaki ni dini "Jews" kwa Kiingereza.
Sometimes you talk sense.
 
Mkuu haya mambo mengine msiwe mnakuwa hivo; kutoka 1933 to 1948 , 15 years difference bado unapiga hesabu kirahisi hivo kama kwamba hakukuwepo kuzaana na kufa??? Nilitegemea hiyo ya 9.49M ilishuka ghafla kwa sababu ya mauaji then ikapanda au kubalance na kuzaliana....miaka kumi na tano ni mingi

Mkuu, kwa kweli sina INGIZO LANGU. Ni figures toka World Almanac. Ila kumbuka pia vita ilianza 1939 ikaisha 1945. Cha msingi wanaohoji ni kwa vile hawaoni pengo la 6 mil. Hii ya European Jews kupungua inakaribiana na makisio ya Red cross
 
Back
Top Bottom