Namba zinakataa: Hitler alipata wapi wayahudi milioni sita?

Namba zinakataa: Hitler alipata wapi wayahudi milioni sita?

hakuna lugha ya kiyahudi,hata ile habari ya makabila 12 ni story tu
eneo lote walikua wakiongea ki aramac na baadae sana kihebrew,hakuna sehemu yeyote itakayokuonyesha kuwahi kuwepo kwa lugha ya kiyahudi,kibenjamin,ki ephrahim etc

Hebrew ni lugha ya watu gani?

Aramaic ni lugha ya watu gani?
 
Labda niandike kwa umombo...

What's meaning of the word "Jew"?

....and what's Judism?

Naomba majibu yako yazingatie imani na utaifa...

Kwa hiyo wewe unajua Kiingerza kuliko Kiswahili?
 
Wayahudi si taifa ni kama vile kusema Wakristo au Waislam au Mabuddha au Wapagani.

Wametapakaa sehemu mbali mbali ulimwenguni, kwingine wako wengi, kwingine wako kidogo, kwingine hawapo kabisa.
Hapa nakubaliana na wewe. Wayahudi si taifa,ni kama kabila tu ambao wanaweza kuwa raia wa taifa lolote. Kwa wale wasiojua, wapo wayahudi tele wanaopinga Israel sehemu mbalimbali duniani. Ni kweli kwamba Hitler aliwaua wayahudi ila idadi ni debatable. Hili la kudhani kwamba kila anayepinga matendo maovu ya serikali ya Israel ni kupinga wayahudi ni ujinga unaotaka kuhalalisha ubeberu wa binadamu fulani dhidi ya wengine.
 
Mwanzo nilikuwa sipendi kusoma comments zako, nilikuwa nakuona wewe mshari sana.
Lakini toka nianze kufuatilia arguements zako kwenye topic mbali mbali nimetokea kukubari na napenda sana soma comments zako.
Nakupa big up bibi. (hope utakuwa kama bibi yangu kwa jinsi unavyo jitambulisha).

Ahsante, naam mimi naweza kuwa bibi yako japo kwa heshima tu, nimezaliwa kwenye 50s huko. Mtoto wangu wa kwanza ana miaka 34 nae ana mtoto (mjukuu wangu) ana miaka 15.
 
Mwanzo nilikuwa sipendi kusoma comments zako, nilikuwa nakuona wewe mshari sana.
Lakini toka nianze kufuatilia arguements zako kwenye topic mbali mbali nimetokea kukubari na napenda sana soma comments zako.
Nakupa big up bibi. (hope utakuwa kama bibi yangu kwa jinsi unavyo jitambulisha).
FaizaFoxy ukimsoma kwa jicho la tatu utafaidika sanaa mkuu Elmagnafico
 
Last edited by a moderator:
The total number of six million Jews murdered during the Holocaust, which emerged from the Nuremberg trials, is also an estimate. Numbers have ranged between five and seven million killed.
[TABLE="width: 80%, align: center"]
[TR="bgcolor: #00FF00"]
[TD="align: center"]COUNTRY[/TD]
[TD="align: center"]Jews Killed[/TD]
[TD="align: center"]Country[/TD]
[TD="align: center"]Jews Killed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Africa
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
526​
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Hungary
[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]
305,000​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Albania
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
200​
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Italy
[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]
8,000​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Austria
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
65,000​
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Latvia
[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]
85,000​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Belgium
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
24,387​
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Lithuania
[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]
135,000​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Czechoslovakia
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
277,000​
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Luxembourg
[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]
700​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Denmark
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
77​
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Netherlands
[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]
106,000​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Estonia
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
4,000​
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Norway
[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]
728​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
France
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
83,000​
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Poland
[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]
3,001,000​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Germany
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
160,000​
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Romania
[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]
364,632​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Greece
[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]
71,301​
[/TD]
[TD="bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Soviet Union
[/TD]
[TD="align: center"]
1,500,000​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC, align: center"]
Yugoslavia
[/TD]
[TD="align: center"]
67,122​
[/TD]
[TD="bgcolor: #FF0000, colspan: 2"]
TOTAL: 6,258,673
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sources: Holocaust Memorial Center
6602 West Maple Road
West Bloomfield, MI 48322
Tel. (248)661-0840 Fax. (248)661-4204
info@holocaustcenter.org; Holocaust Memorial Center

Mkuu shukran kwa taarifa nzuri.

Cha kuzingatia hapa ni kuwa idadi ya wayahudi kabla na baada ya vita kwenye ripoti ya World Almanac (1933 & 1948) zimekisiwa na wayahudi wenyewe, yaani American Jewish Committee (refer posting yangu #1 )

Kwenye hiyo report utaona wametajwa kuwa;

1933 - European jews (9,494,363)
1948 - European Jews (9,372,666)

Waliopungua ni 121,697

Wakati huo kulikuwa pia na maelezo mengi kuwa wayahudi waliuwawa kwenye nyumba za GESI ikiwamo cyanide. Nimeshapost findings za wanasayansi ambao wameshindwa kupata traces za Cyanide kwenye majengo yaliyoelezwa kuhusika na tukio.
 
Mkuu shukran kwa taarifa nzuri.

Cha kuzingatia hapa ni kuwa idadi ya wayahudi kabla na baada ya vita kwenye ripoti ya World Almanac (1933 & 1948) zimekisiwa na wayahudi wenyewe, yaani American Jewish Committee (refer posting yangu #1 )

Kwenye hiyo report utaona wametajwa kuwa;

1933 - European jews (9,494,363)
1948 - European Jews (9,372,666)

Waliopungua ni 121,697

Wakati huo kulikuwa pia na maelezo mengi kuwa wayahudi waliuwawa kwenye nyumba za GESI ikiwamo cyanide. Nimeshapost findings za wanasayansi ambao wameshindwa kupata traces za Cyanide kwenye majengo yaliyoelezwa kuhusika na tukio.

Okay.
H
Article niliyoweka imeelezea kwa undani sana.
Wayahudi wengi sana waliuawa Poland, kwenye concentration camps (killing camps).
Waliuawa kwa nanna tofauti tofauti, ama kwa kupigwa risasi, gas chambers, kuzikwa wakiwa hai, kuachwa na njaa ili wafe, etc.
Mauaji hayo yote yalifanywa kwa mpango maalum wa SS na Gestapo.
Mauaji mengi yalitekelezwa kwenye locations za siri za SS na Gestapo.
Wengine wengi waliuawa Soviet Union, wakati Germany ilipovamia Soviet Union (Operation Barbarossa).

Hao wanasayansi pia wameshindwa kusema mpaka leo kuwa Hitler alienda wapi.
Wengine wanasema alijiua, wengine wanasema alitorokea Argentina (au Chile), etc.
 
faiza foxy kwenye hili umeonyesha ukubwa sana.sema ukiamua kuwa mpumbavu unanikeraga sana.
ujue kuna mijitu inaamini waisrael wengi ni wakristo na wanaamini bible
ubishani wote hapa wasiojua arguments wanasukumwa na imani tu na siyo reality
watu hawaamini israel state pale middle east imeletwa na westerners kwa ajili ya manufaa yao na expansion ya israel inazidi tu na watu hawastuki
mkwara mkubwa kwamba ni taifa teule la mungu ila kumbuka idadi kubwa ya jews iko USA
kuna tofauti kati ya israel na jews ingawa kuna israel jews

TAKE A LOOK AT THE PIE CHART OF ISRAEL RELIGIONS
israelpal-rel.gif
 
Hivi karibuni kumeibuka maswali mengi juu ya idadi ya Wayahudi waliopoteza chini ya Adolf Hitler. Utata huu unachangiwa na report za sensa za idadi ya Wayahudi duniani kabla na baada ya vita kuu ya Pili pamoja na report za Red Cross juu ya waliopoteza maisha wakiwa chini ya Wajerumani wakati wa vita. Idadi ya watu duniani ya kupitia World Almanac katika kipindi husika inasomeka kama ifuatavyo;
Kukamilisha uchunguzi wako fanya utafiti wa jinsi alivyoua wayahudi wa Ujerumani, Poland, .... et al
Ukimaliza kufamya hilo utajua hiyo number pia ni approximate tu!
 
Let me help you on this;

Unaposema Wayahudi sio taifa inakuwa unakosea lakini pia unaweza kuwa sawa kwa maana nyingine

Uyahudi ni dini lakini pia iliwahi kuwa nchi kamili ambayo ilikuwa na mji mkuu na serikali kamili,mji wake mkuu ulikuwa ni Jerusalem na nchi yao iliitwa Judea kutokana na kabila la Yuda ambalo ndilo lilikuwa kubwa likiunda nchi au taifa hilo la Judea ukilinganisha na Kabila lingine lililounda Taifa hilo ambalo ni Benjamin

Taifa la Judea lilitokana na mgawanyiko wa Taifa la Israel baada ya kufariki mfalme Solomoni na kushindwa kuelewana kati ya makabila 12 yakiyokuwa yanaunda taifa la Israel

Kwamaana hiyo baada ya mgawanyiko huo yalitokea mataifa mawili ambayo ni Israel na Judea na hapo ndio ulikuwa mwanzo wa kutumika term "Yahudi" ambayo ilitokana na kabila la Yuda kama nilivyosema hapo juu

Lakini wakati wanatengana dini yao iliendelea kuwa ile ile ya mwanzo lakini baadae iliitwa dini ya watu wa kabila ya Yuda au Judaism kwasababu Waisraeli waianza kuachana na dini hii ya asili yao hasa baada ya uvamizi wa Waashuru (Assyrian) mwaka 722 B.C

Kwa maana nyingine dini hii ilibakia kwenye nchi ya Judea na iliamza kuitwa ni dini ya Kiyahudi kwasababu ndio ilikuwa inawatambulisha watu hao

Kwa maana nyingine Jew au Judaism ni nchi lakini pia ni kabila pia ni dini na pia ni jina

CC: watu8

Una likes zangu kibao mkuu,umetoa ufafanua poa sana
 
Last edited by a moderator:
Hata Rais wa Congo ni Kabila.

Pata darsa dogo:


Hawa ni Mizrahi Jews au Arab Jews wa Yemen.



Hawa ni Ashkenazi Jews, mmoja huyo ni wa Morocco na Mmoja wa Ethiopia



Sasa niambie, hao wote ni kabila moja?
mama unaelewa maana ya kabila in this context, lakini!?
 
hakuna lugha ya kiyahudi,hata ile habari ya makabila 12 ni story tu
eneo lote walikua wakiongea ki aramac na baadae sana kihebrew,hakuna sehemu yeyote itakayokuonyesha kuwahi kuwepo kwa lugha ya kiyahudi,kibenjamin,ki ephrahim etc

Mtu akikwambia kibantu ni kabila, wewe kwa akili yako utabisha, kisa tu hakuna mahali specific palipo andikwa hicho kibantu!
 
mama unaelewa maana ya kabila in this context, lakini!?

Mkuu ukimuondoa Eiyer naona hili ni tatizo la wengi wanaojadili hii Thread.
Jews ni Descendants wa Jacob(Israel), Ambao kawapa kabila 12kwa idadi yao na kwa majina yao.
Abraham begot Isaac. Isaac begot Jacob.

  • To be an Israelite by blood, a person must be a descendent of Abraham, Isaac, and Jacob.
Jacob begot 12 sons who are listed herein in subsequent sections.

  • The 12 sons of Jacob are the patriarchs of the 12 Tribes of Israel.
  • For example, Jacob's son Benjamin is the patriarch of the Tribe of Benjamin. Jacob's son Reuben is the patriarch of the Tribe of Reuben. And so forth.
Well-known descendants of certain Tribes

  • Tribe of Benjamin - King Saul, Paul the apostle [a.k.a. Saul of Tarsus]
  • Tribe of Levi - Moses, Aaron
  • Tribe of Judah - King David, King Solomon, many other kings; Lord Jesus, the Messiah
ndo ukweli,zile kabila 12 za israel,actual ni watoto 12 wa yakobo na hakuna muujiza ulitokea eti wakawa wanaongea kabila 12 tofauti.
kwahiyo ilifaa zaidi kusema koo 12 za israel na si makabila 12,kwani hayakuwahi kuwepo makabila 12 Kwa maana hasa ya makabila
Mkuu mbona unajichanganya?
 
Wayahudi si taifa ni kama vile kusema Wakristo au Waislam au Mabuddha au Wapagani.

Wametapakaa sehemu mbali mbali ulimwenguni, kwingine wako wengi, kwingine wako kidogo, kwingine hawapo kabisa.
Origins of the Words "Jew" and "Judaism"

The original name for the people we now call Jews was Hebrews. The word "Hebrew" (in Hebrew, "Ivri") is first used in the Torah to describe Abraham (Gen. 14:13). The word is apparently derived from the name Eber, one of Abraham's ancestors. Another tradition teaches that the word comes from the word "eyver," which means "the other side," referring to the fact that Abraham came from the other side of the Euphrates, or referring to the fact Abraham was separated from the other nations morally and spiritually.
Another name used for the people is Children of Israel or Israelites, which refers to the fact that the people are descendants of Jacob, who was also called Israel.
The word "Jew" (in Hebrew, "Yehudi") is derived from the name Judah, which was the name of one of Jacob's twelve sons. Judah was the ancestor of one of the tribes of Israel, which was named after him. Likewise, the word Judaism literally means "Judah-ism," that is, the religion of the Yehudim. Other sources, however, say that the word "Yehudim" means "People of G-d," because the first three letters of "Yehudah" are the same as the first three letters of G-d's four-letter name.
Originally, the term Yehudi referred specifically to members of the tribe of Judah, as distinguished from the other tribes of Israel. However, after the death of King Solomon, the nation of Israel was split into two kingdoms: the kingdom of Judah and the kingdom of Israel (I Kings 12; II Chronicles 10). After that time, the word Yehudi could properly be used to describe anyone from the kingdom of Judah, which included the tribes of Judah, Benjamin and Levi, as well as scattered settlements from other tribes. The most obvious biblical example of this usage is in Esther 2:5, where Mordecai is referred to as both a Yehudi and a member of the tribe of Benjamin.
In the 6th century B.C.E., the kingdom of Israel was conquered by Assyria and the ten tribes were exiled from the land (II Kings 17), leaving only the tribes in the kingdom of Judah remaining to carry on Abraham's heritage. These people of the kingdom of Judah were generally known to themselves and to other nations as Yehudim (Jews), and that name continues to be used today.
In common speech, the word "Jew" is used to refer to all of the physical and spiritual descendants of Jacob/Israel, as well as to the patriarchs Abraham and Isaac and their wives, and the word "Judaism" is used to refer to their beliefs. Technically, this usage is inaccurate, just as it is technically inaccurate to use the word "Indian" to refer to the original inhabitants of the Americas. However, this technically inaccurate usage is common both within the Jewish community and outside of it, and is therefore used throughout .
Who is a Jew?

A Jew is any person whose mother was a Jew or any person who has gone through the formal process of conversion to Judaism.
It is important to note that being a Jew has nothing to do with what you believe or what you do. A person born to non-Jewish parents who has not undergone the formal process of conversion but who believes everything that Orthodox Jews believe and observes every law and custom of Judaism is still a non-Jew, even in the eyes of the most liberal movements of Judaism, and a person born to a Jewish mother who is an atheist and never practices the Jewish religion is still a Jew, even in the eyes of the ultra-Orthodox. In this sense, Judaism is more like a nationality than like other religions, and being Jewish is like a citizenship.
 
Back
Top Bottom