hakuna lugha ya kiyahudi,hata ile habari ya makabila 12 ni story tu
eneo lote walikua wakiongea ki aramac na baadae sana kihebrew,hakuna sehemu yeyote itakayokuonyesha kuwahi kuwepo kwa lugha ya kiyahudi,kibenjamin,ki ephrahim etc
Unaposikia kabila wewe unaelewa nini?
Hebrew ni lugha ya watu gani?
Aramaic ni lugha ya watu gani?
Labda niandike kwa umombo...
What's meaning of the word "Jew"?
....and what's Judism?
Naomba majibu yako yazingatie imani na utaifa...
Hapa nakubaliana na wewe. Wayahudi si taifa,ni kama kabila tu ambao wanaweza kuwa raia wa taifa lolote. Kwa wale wasiojua, wapo wayahudi tele wanaopinga Israel sehemu mbalimbali duniani. Ni kweli kwamba Hitler aliwaua wayahudi ila idadi ni debatable. Hili la kudhani kwamba kila anayepinga matendo maovu ya serikali ya Israel ni kupinga wayahudi ni ujinga unaotaka kuhalalisha ubeberu wa binadamu fulani dhidi ya wengine.Wayahudi si taifa ni kama vile kusema Wakristo au Waislam au Mabuddha au Wapagani.
Wametapakaa sehemu mbali mbali ulimwenguni, kwingine wako wengi, kwingine wako kidogo, kwingine hawapo kabisa.
Mwanzo nilikuwa sipendi kusoma comments zako, nilikuwa nakuona wewe mshari sana.
Lakini toka nianze kufuatilia arguements zako kwenye topic mbali mbali nimetokea kukubari na napenda sana soma comments zako.
Nakupa big up bibi. (hope utakuwa kama bibi yangu kwa jinsi unavyo jitambulisha).
FaizaFoxy ukimsoma kwa jicho la tatu utafaidika sanaa mkuu ElmagnaficoMwanzo nilikuwa sipendi kusoma comments zako, nilikuwa nakuona wewe mshari sana.
Lakini toka nianze kufuatilia arguements zako kwenye topic mbali mbali nimetokea kukubari na napenda sana soma comments zako.
Nakupa big up bibi. (hope utakuwa kama bibi yangu kwa jinsi unavyo jitambulisha).
The total number of six million Jews murdered during the Holocaust, which emerged from the Nuremberg trials, is also an estimate. Numbers have ranged between five and seven million killed.[TABLE="width: 80%, align: center"]
[TR="bgcolor: #00FF00"]
[TD="align: center"]COUNTRY[/TD]
[TD="align: center"]Jews Killed[/TD]
[TD="align: center"]Country[/TD]
[TD="align: center"]Jews Killed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Africa[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]526[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Hungary[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]305,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Albania[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]200[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Italy[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]8,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Austria[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]65,000[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Latvia[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]85,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Belgium[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]24,387[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Lithuania[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]135,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Czechoslovakia[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]277,000[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Luxembourg[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]700[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Denmark[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]77[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Netherlands[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]106,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Estonia[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]4,000[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Norway[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]728[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]France[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]83,000[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Poland[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]3,001,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Germany[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]160,000[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Romania[/TD]
[TD="width: 134, align: center"]364,632[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 155, bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Greece[/TD]
[TD="width: 135, align: center"]71,301[/TD]
[TD="bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Soviet Union[/TD]
[TD="align: center"]1,500,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC, align: center"]Yugoslavia[/TD]
[TD="align: center"]67,122[/TD]
[TD="bgcolor: #FF0000, colspan: 2"]TOTAL: 6,258,673[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sources: Holocaust Memorial Center
6602 West Maple Road
West Bloomfield, MI 48322
Tel. (248)661-0840 Fax. (248)661-4204
info@holocaustcenter.org; Holocaust Memorial Center
Mkuu shukran kwa taarifa nzuri.
Cha kuzingatia hapa ni kuwa idadi ya wayahudi kabla na baada ya vita kwenye ripoti ya World Almanac (1933 & 1948) zimekisiwa na wayahudi wenyewe, yaani American Jewish Committee (refer posting yangu #1 )
Kwenye hiyo report utaona wametajwa kuwa;
1933 - European jews (9,494,363)
1948 - European Jews (9,372,666)
Waliopungua ni 121,697
Wakati huo kulikuwa pia na maelezo mengi kuwa wayahudi waliuwawa kwenye nyumba za GESI ikiwamo cyanide. Nimeshapost findings za wanasayansi ambao wameshindwa kupata traces za Cyanide kwenye majengo yaliyoelezwa kuhusika na tukio.
Kukamilisha uchunguzi wako fanya utafiti wa jinsi alivyoua wayahudi wa Ujerumani, Poland, .... et alHivi karibuni kumeibuka maswali mengi juu ya idadi ya Wayahudi waliopoteza chini ya Adolf Hitler. Utata huu unachangiwa na report za sensa za idadi ya Wayahudi duniani kabla na baada ya vita kuu ya Pili pamoja na report za Red Cross juu ya waliopoteza maisha wakiwa chini ya Wajerumani wakati wa vita. Idadi ya watu duniani ya kupitia World Almanac katika kipindi husika inasomeka kama ifuatavyo;
Let me help you on this;
Unaposema Wayahudi sio taifa inakuwa unakosea lakini pia unaweza kuwa sawa kwa maana nyingine
Uyahudi ni dini lakini pia iliwahi kuwa nchi kamili ambayo ilikuwa na mji mkuu na serikali kamili,mji wake mkuu ulikuwa ni Jerusalem na nchi yao iliitwa Judea kutokana na kabila la Yuda ambalo ndilo lilikuwa kubwa likiunda nchi au taifa hilo la Judea ukilinganisha na Kabila lingine lililounda Taifa hilo ambalo ni Benjamin
Taifa la Judea lilitokana na mgawanyiko wa Taifa la Israel baada ya kufariki mfalme Solomoni na kushindwa kuelewana kati ya makabila 12 yakiyokuwa yanaunda taifa la Israel
Kwamaana hiyo baada ya mgawanyiko huo yalitokea mataifa mawili ambayo ni Israel na Judea na hapo ndio ulikuwa mwanzo wa kutumika term "Yahudi" ambayo ilitokana na kabila la Yuda kama nilivyosema hapo juu
Lakini wakati wanatengana dini yao iliendelea kuwa ile ile ya mwanzo lakini baadae iliitwa dini ya watu wa kabila ya Yuda au Judaism kwasababu Waisraeli waianza kuachana na dini hii ya asili yao hasa baada ya uvamizi wa Waashuru (Assyrian) mwaka 722 B.C
Kwa maana nyingine dini hii ilibakia kwenye nchi ya Judea na iliamza kuitwa ni dini ya Kiyahudi kwasababu ndio ilikuwa inawatambulisha watu hao
Kwa maana nyingine Jew au Judaism ni nchi lakini pia ni kabila pia ni dini na pia ni jina
CC: watu8
hakuna lugha ya kiyahudi,hata ile habari ya makabila 12 ni story tu
eneo lote walikua wakiongea ki aramac na baadae sana kihebrew,hakuna sehemu yeyote itakayokuonyesha kuwahi kuwepo kwa lugha ya kiyahudi,kibenjamin,ki ephrahim etc
yaah hapa pana dalili ya kupatikana elmu kubwa sana, sichezi mbali
mama unaelewa maana ya kabila in this context, lakini!?
Mkuu mbona unajichanganya?ndo ukweli,zile kabila 12 za israel,actual ni watoto 12 wa yakobo na hakuna muujiza ulitokea eti wakawa wanaongea kabila 12 tofauti.
kwahiyo ilifaa zaidi kusema koo 12 za israel na si makabila 12,kwani hayakuwahi kuwepo makabila 12 Kwa maana hasa ya makabila
Origins of the Words "Jew" and "Judaism"Wayahudi si taifa ni kama vile kusema Wakristo au Waislam au Mabuddha au Wapagani.
Wametapakaa sehemu mbali mbali ulimwenguni, kwingine wako wengi, kwingine wako kidogo, kwingine hawapo kabisa.