Namba zinakataa: Hitler alipata wapi wayahudi milioni sita?

Rais wa kwanza wa Palestina, mipaka ya Wapalestina, utamaduni wa Wapalestina...
 
Rais wa kwanza wa Palestina, mipaka ya Wapalestina, utamaduni wa Wapalestina...

Nashangaa hawa watu hawajulikani mkuu ....

Hakuna mtu ambae anawajua hawa watu,yaani ile mipaka ya nchi ya Israeli ndio mipaka ya palestina,hii ni ajabu sana

Ngoja nisubiri labda nitajibiwa wakati huo walikuwa wapi!
 
Hao ni wavamizi nasikia...
 
Sawa,lakini si walikuwa na nchi yao?

Waliwajuaje kama hawa ni wayahudi?

Walitokea hewani tu?

Unachanganya mambo mawili Wayahudi Asilia ambao asilia yao ni jangwani huko Mashariki ya kati leo (pelestina/Israeli) na Wayahudi wa kuapia Wazungu kutoka wa Ulaya!
Hawa ni watu wawili tofauti kundi la kwanza ni Jamii na wayahudi asilia na la pili ni wayahudi wa kidini (walowezi) tu na hawana uhusiano wowote ule Jangwa la Palestina/Israeli ya leo
!
 
Sawa,lakini si walikuwa na nchi yao?

Waliwajuaje kama hawa ni wayahudi?

Walitokea hewani tu?

Unaposema turudi nyuma, pia get in head ardhi wanayodai wayahudi walipewa na Mungu wao walipotoka Misri kama ilivyoandikwa kwa torati na biblia , ilikuwa ni ya watu wengine kabisaa (remember pia not everyone anaamini biblia au torati). Sasa kwa maana hiyo, wao wayahudi hicho kipande cha ardhi hakikuwa chao from the "beiggining".
 
Kwahiyo Wayahudi wa "kuapia" na Wapalestina wote pale sio kwao sio?
 
Mkuu sina uhakika sio kwamba the same land ilikuwa inaitwa Canaan? Hii ni are sina taaluma nayo. Nimekutana more than once na literature inayosema hawa Palestinians ni more of israelic roots na hata wazazi wao ndio walikuwa wakazi wa ancient Judea

Source: The Palestinians are descendants of the ancient Israelites | Veterans Today

nipe darsa katika hili kama una la zaidi. All in all nashukuru kuwa mpango wa kuitaka Uganda iwe their Home haikufaulu kwa hali yoyote leo ingekuwa Waganda ndio wanafanya intifada hadi Mutukula
 
Uwepo wa nchi ya Israeli miaka 1000 B.C hauko kidini pekee bali hata kihistoria,hilo ni moja
Hoja iliyoko hapa ni nani mwenye haki ya kuishi kwenye eneo hilo baina ya Wapalestina na Wayahudi-hilo ni la pili

Nchi hiyo ilikuwa ni ya Wakanaan,je hawa watu wapo wapi leo?-Hilo la tatu

Kama unadai kuwa nchi hiyo haikuwa ni ya Wayahudi,unamaanisha hata Waingereza ambao leo wapo Marekani waondoke?
Kama ni hivyo,kuna watu walipigana vita zamani huko na wakachukua maeneo na leo yanahesabika yao kama vile Waarabu walioko Misri,unataka warudi walipokuwa wanaishi mababu zao?

Kama hao hawapaswi kurudi,kwanini unaleta hoja ya Wakanaani ambao ndio walikuwa wanaishi hapo ukitarajia warejeshwe huko?
 
Kwahiyo Wayahudi wa "kuapia" na Wapalestina wote pale sio kwao sio?

Wayahudi wa kuapia pale SIYO kwao bali Wayahudi asilia kama vile Waarabu pale ni kwao! Hawa wengine wa kuapia ni Wahamiaji (Walowezi) tu na kwao ni Bara Ulaya na ndio maana wana macho ya bluu na nywele za blondi!
 
Kwanza kwa maana hii ni kwamba kukana kuwa hakukuwahi kuwepo kwa nchi inayoitwa Israeli ni upuuzii
Pili kukana kuwa hakukuwahi kuwepo na nchi inayoiwa Judea [Yahudi] ni upuuzii mwingine

Lakini pamoja na haya,kwa context ya huyu alieandika haya,wote kwa maana ya Wapalestina na Wayahudi ni wakaazi halali wa eneo hilo,sio?
 
Hakuna tofauti kati ya Taifa na Nchi na hii ni kwa lugha zote!
 
Wayahudi wa kuapia pale SIYO kwao bali Wayahudi asilia kama vile Waarabu pale ni kwao! Hawa wengine wa kuapia ni Wahamiaji (Walowezi) tu na kwao ni Bara Ulaya na ndio maana wana macho ya bluu na nywele za blondi!

Nimekuuliza kuhusiana makundi mawili ya watu ambao ni Wayahudi na Wapalestina,nimekuuliza kama kwa maana ya ulichoandika hao wote sio kwao na naona umejibu kuhusiana na kundi moja tu ambalo ni Wayahudi,vipi kuhusu Wapalestina?
 
Jewry is of their father the Devil, who is the father of lies and murder.

Jewry = The Global anti Christ of all humanity.
 
Nimekuuliza kuhusiana makundi mawili ya watu ambao ni Wayahudi na Wapalestina,nimekuuliza kama kwa maana ya ulichoandika hao wote sio kwao na naona umejibu kuhusiana na kundi moja tu ambalo ni Wayahudi,vipi kuhusu Wapalestina?

Wote Wayahudi asilia na Wapalestina/Waarabu pale Jangwani (Palestina/Israeli) ni kwao asilia!
 
Wote Wayahudi asilia na Wapalestina/Waarabu pale Jangwani (Palestina/Israeli) ni kwao asilia!

Mosi:Wapalestina ni Waarabu?
Pili:Wakati hao Wayahudi asilia walikua wanaishi hapo Wapalestina walikuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…