cetterhutter
Senior Member
- Sep 5, 2017
- 167
- 75
- Thread starter
-
- #81
Mm bado naamini kuwa mtu anaweza kuwa na mali nyingi ila hana upendo kwenye family yake akifika nyumban amelewa matusi na dharau kibao ila mm najivunia upendo ulijaa ndani ya moyo wangu.Kuwa mkweli sio tatizo, ila unakuwa mkweli katika lipi na huo ukweli unausema vipi!!
Eti "japo sina kitu ila nakupenda!! " thats a mistake, onyesha ulichonacho sio usicho nacho.
Mkuu Kwan kuwa kolomije ndio siwezi kumpata mtoto wa jiji la bashite?We mwenyewe upo KOLOMIJE then unataka wataka watoto wazuri wa jiji la BASHITE..uza ng'ombe uje ulipe mahari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio niko serius nisaidie kumufikishia huu ujumbeyaan huy mrembo? kuwa seriuz mzee!
Naona hatuelewani mkuu. Kwaheri.Mm bado naamini kuwa mtu anaweza kuwa na mali nyingi ila hana upendo kwenye family yake akifika nyumban amelewa matusi na dharau kibao ila mm najivunia upendo ulijaa ndani ya moyo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ana ndoa ya dehebu wasiovaa pete ya ndoaBado bana..huoni hana kitu kidoleni. [emoji23]
Asante ndugu Nitadumunaye sana maana nampenda sana tena zaidi ya sana.