Namependa sana mrembo Julieth Robert wa ITV

Namependa sana mrembo Julieth Robert wa ITV

Kuwa mkweli sio tatizo, ila unakuwa mkweli katika lipi na huo ukweli unausema vipi!!
Eti "japo sina kitu ila nakupenda!! " thats a mistake, onyesha ulichonacho sio usicho nacho.
Mm bado naamini kuwa mtu anaweza kuwa na mali nyingi ila hana upendo kwenye family yake akifika nyumban amelewa matusi na dharau kibao ila mm najivunia upendo ulijaa ndani ya moyo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada ni mkali, ila hujamtendea haki, picha uliyoweka ni mbaya.
 
Back
Top Bottom