Baki na Imani yako.Nadhani watanzania sisi ni wepesi sana wa kuhukumu. Huyo mwandishi wa habari aliyemuhoji angetuwekea clip ya mazungumzo yao maana wakati mwingine waandishi wetu wa habari hawana weledi wanauliza maswali ili wapate majibu wanayotaka wao. Pengine huyo Afande hakuzungumza ama hakumaanisha kilichoripotiwa.
Kimsingi mimi siwaamini waandishi wa habari wa nyakati hizi.
Angekuwa anatoa ushirikiano angeomba maji? Au hukuangalia ulisimuliwaYuko sahihi sana huyu mama.....kwa aliyeangalia ile clip kwa kutulia bila mihemuko utaligundua hili.....yule dada alikuwa akitoa ushirikiano kabisaaaaa
kwahiyo kahaba anayejiuza anatakiwa kubakwa na kulawitiwa? na kwanini walimlazimisha aanze kumwomba msamaha afande aliyeibiwa mume? hauoni kuna kitu hapo?Afande hana kosa hata moja.Yeye kasema mwanamke aliyebakwa alikuwa kama kahaba anayejiuza,WAPUMBAVU wamebadili kauli hiyo ionekane kama RPC amehalalisha kubakwa kwa mwanamke huyo.
Watanzania wengi ni kama misukule fata mkumbo.
Ni wapi RPC kasema ni halali kumbaka huyo mwanamke kwasababu ni kahaba?kwahiyo kahaba anayejiuza anatakiwa kubakwa na kulawitiwa? na kwanini walimlazimisha aanze kumwomba msamaha afande aliyeibiwa mume? hauoni kuna kitu hapo?
Kwa hiyo dunia ikisapoti kitu na wewe unafuata mkumbo bila kutumia akili zako?dunia nzima imewakataa, mmebaki na rpc aliyetumbuliwa. kazi kwenu.
of course kitendo tu cha kutukana badala ya kutoa hoja, unakosa sifa za kujadili na watu wenye akili. pole sana.Kwa hiyo dunia ikisapoti kitu na wewe unafuata mkumbo bila kutumia akili zako?
Watu kama Galileo walipingwa na dunia nzima licha ya kwamba madai yao yalikuwa ya kweli.
Tumia akili,acha UPUMBAVU wa kufuata mkumbo ili uonekane mwema mbele za watu.