Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
- Thread starter
- #101
Bakk
Baki na Imani yako.Nadhani watanzania sisi ni wepesi sana wa kuhukumu. Huyo mwandishi wa habari aliyemuhoji angetuwekea clip ya mazungumzo yao maana wakati mwingine waandishi wetu wa habari hawana weledi wanauliza maswali ili wapate majibu wanayotaka wao. Pengine huyo Afande hakuzungumza ama hakumaanisha kilichoripotiwa.
Kimsingi mimi siwaamini waandishi wa habari wa nyakati hizi.