Namfananisha Lupita Nyong'o na mwanadada Grace B Jones aliyetamba kwenye filamu za James Bond

Namfananisha Lupita Nyong'o na mwanadada Grace B Jones aliyetamba kwenye filamu za James Bond

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
758
Reaction score
555
Mjue Muigizaji na Mwanamuziki Grace B Jones aliyetamba miaka ya 1980's, haswa kwenye muvi za James Bond.....muvi kama A view to a kill, huwa namfananisha na Kenyan Actress, Lupita Nyong'o.
G jones.jpg
GRACE JONES AND LUPITA NYONG'O.
L nyong'o.jpg
G jones 04.jpg
 
Grace anavutia ngozi yake nyororooooo huyu mwingine rangi ya ngozi haina mawasiliano na ushirikiano idara zote
Hapana bana, Grace alikuwa mutu ya kazi.

Kwa sasa ni mtu mzima, ana 69 ila tangu ujana wake alikuwa mgumu tu, hebu ukibahatika umcheki kwenye muvi zake.

Kuna moja nimesahau jina alicheza na Schwazernegger....duh, alikuwa ni mascular.
 
Hapana bana, Grace alikuwa mutu ya kazi.

Kwa sasa ni mtu mzima, ana 65 ila tangu ujana wake alikuwa mgumu tu, hebu ukibahatika umcheki kwenye muvi zake.

Kuna moja nimesahau jina alicheza na Schwazernegger....duh, alikuwa ni mascular.
Kwenye "Conan the destroyer" ndio amecheza na Schwezernegger.
 
Back
Top Bottom